mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,718
- 45,518
Hatari lakini salamaAma kweli wapendanao wakigombana shika jembe ukalime, kule kugombana kwao ndio kama wanakoroga zege kuimarisha maloveee yao! Huku umeudhiwa unalia, huku unashika mic unaimba, hahahaaaa, raha sana aisee