From Madame B to Mung Chris...

We nawe usichokoze wafu waliozikwa na kudra zao.
Pendo mchezo.
Unadhani kupendana ni kama matako, kila mtu anayo...
Natafuta mwanaume mpya sasa
Eeeh nipo nyuma ya muda sana japo muda wote nipo humu jf ..Mageni kwangu haya pole
 
Hahahahahah....angalie usianguke.

Asa yeye hiyo quote anaitaka nani hapa?
Ahhhh mie sipendi kujichoshaga na vijineno vya sonona.
Angeweka huko kwenye nyuzi zingine wala nisingeona...ila kaweka hapa, ujue ana maana yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi bakini nao hao wanaowasikiliza.
Acha sie wenye masikio ya popo tupende tunapotaka.

Tangu umeanza kusoma pale mwanzo, nimekwambia natafuta bwana hapa!
Nawe usinichoshe wewe.
Kama huna la kuongea, kapige nyeto
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpwa kama maji yamemwagika huko njoo tuchote mengine huku. "Sitakuangusha"[emoji39][emoji39]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…