umenena mkuu nakuunga mkono mana matatizo mengi watu wanayouliza kila siku yalishajadiliwa na kupatiwa ufumbuzi cku nyingi tena ya ufasaha kuliko now ila swala jingine tungemwombo mod azipekipaumbele baadhi ya post zenye faiada sana ziwe mbele kabisa yani ziwe Sticky inakuwa raisi watu kuziona kuliko kuzipotezea hivyo