Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
waulize kama wanawajua wanao. Hivi ile picha yetu unayo kwenye wallet?
Afu dadii nimekukosa! Mgeni akiondoka nitakuja kukupiga mzinga, nimeloweka wallet.
Nilikwambia ukikaukiwa uwe unafanya maarifa..... Kwani huwezi kuchuna vibuzi na kusepa bila madhara... Kuwa mjanja binti yangu, mjini hapa...LOL