From Customer care to customer kero

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,956
2,274
Wandugu habari zenu,

kila siku katika maisha yetu ya kila siku tumekuwa tukipata huduma kutoka sehemu mbalimbali. Sasa kupitia uzi huu tunaweza ku-share sehemu mbali mbali ambako wanatoa huduma mbaya. Lengo ili kama wahusika wapo humu wajirekebishe

Binafsi, niko boared sana na huduma za

Tigo-callcenter yaani wanaboa sanaaaa! unapiga simu dk 30 afu ikipokelewa wanaongea kwa nyooodo!
 
Mimi line ipo hewani lakini imefungiwa na ina hela, kila nikipiga customer care ili wanifungulie hawapokei, kwa hiyo nimeiacha hiyo line hewani lakini siitumii
 
Back
Top Bottom