Ndio namshangaa kulikuwa haja gani kusema anakuja km hataki kuona wenyeji.
Wala hata usihangaike kujipa kazi ya kunambia coz haina maana!kwa hiyo na mie nikija nisikuambie japo staki kukuona?
Ndio namshangaa kulikuwa haja gani kusema anakuja km hataki kuona wenyeji.
We ulibanwa hata hujatafuta wenyeji.
Bora uishie huko huko kwa akina Madame B na akina Bishanga
Huku tunakutoa umember wa wana Arachuga
Akina Erickb52, Filipo, Mungi, Blaki Womani, Preta LiverpoolFC Crashwise hebu muondoeni uanachama wa Atown
Nyie mnatambuana vipi wakati mnatumia majina bandia?