From Arusha back to Dar es Salaam....

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
Jaman ni majukumu tuuu...
Wale wa Arusha mnisamehe sijawaoona kabisaaa...
Ni majukumu ndio yamenifanya hivi...
Niko safarini ndani ya basi la...
Nawarudia akina Madame B. N.k.
Naombeni m
 
Last edited by a moderator:
Wewe nawe umekuja kimyakimya hata hujatafuta wenyeji?
 
Baadae alaumu kuwa wana chuga hawakumpa ushikiliano
 
acha hizo kaka mkubwa...
We ndo wa kunifanyia hivyo kweli??

stevoh inabidi tuwe hivyo aise maana kama ulikuwa na wiki karibu mbili hapa na umeuchuna hata kututafuta hufai kuwa mwana arachuga
Tunafikiria nafasi yako hii bora tukuondoe akina Madame B wakupe uraia wa dar
 
Last edited by a moderator:
stevoh inabidi tuwe hivyo aise maana kama ulikuwa na wiki karibu mbili hapa na umeuchuna hata kututafuta hufai kuwa mwana arachuga
Tunafikiria nafasi yako hii bora tukuondoe akina Madame B wakupe uraia wa dar

Mr Rocky pole sana, umeongea kwa uchungu mno.
Huyo wa kwenu huyo.
Mwanao akipuu kwenye kiganja chako, utakikata na kukitupilia mbali au utauosha mkono Mr Rocky?
Naomba jibu.
 
Last edited by a moderator:
Jaman ni majukumu tuuu...
Wale wa Arusha mnisamehe sijawaoona kabisaaa...
Ni majukumu ndio yamenifanya hivi...
Niko safarini ndani ya basi la...
Nawarudia akina Madame B. N.k.
Naombeni m

We nawe hukufanya fair, kwanini hujawatafuta wa chamani wenzako?
Ukitengwa, usikimbilie huku chama la Dar, huku kwenyewd akina Baba V na akina Bishanga tiamaji tiamaji.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
stevoh

Bila shaka uwe na wakati mzuri na safari njema!

Ila ujue fain yako tunaitengeneza!
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky pole sana, umeongea kwa uchungu mno.
Huyo wa kwenu huyo.
Mwanao akipuu kwenye kiganja chako, utakikata na kukitupilia mbali au utauosha mkono Mr Rocky?
Naomba jibu.

Madame B sitakikata nitakiosha kwa maji na sabuni
Sasa faini yake aje atupe hapa tukae viti virefu na the tutamwambia kama bado anakubalika au bado yuko under probation
 
Last edited by a moderator:
Ukikaribia mombo niambie ili nije tupate nyama choma kidogo then unaendelea na safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…