From Analog to Digaital signals of Communication

Godvictor

Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
10
Points
20

Godvictor

Member
Joined Feb 7, 2010
10 20
wajameni, huku kuhama kwa mawasiliano ya simu na hususan Televisheni from ANALOG TO DIGITAL, Hamwoni kwamba vijana wengi watazidi kukosa AJIRA?? e.g. fundi dish, etc. :A S 20: Na pia low income earners hawataweza ku'afford digital system..??
 

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,452
Points
2,000

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,452 2,000
madishi bado yatakuwepo haijakatazwa, na pia sio ishu ya siku moja itafika hadi 2017 bado hatutaweza, wamiliki wa tv stations wenyewe bado wanatumia terrestial broadcast kubadili kunahitaji hela nyingi, bado tuna kazi kubwa anatakiwa atokee mwekezaji atakaeweza kusambaza cables kwa kila nyumba,within that cable atoe multiples servies kama tv,internet na simu,,kingine digital inahitaji tv za LCD ingawa sio lazima, umaskini wetu tutaweza?? ajira zitakuepo bado kama za kusuply cables,wires,decorders nk.
 

Forum statistics

Threads 1,379,316
Members 525,382
Posts 33,742,668
Top