Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokanana lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watuwakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa anaogopa kuchukua maana hakuna aliyeamini mtu anaweza akagawa friji zima bure. Baada ya kuona wiki imepita halijachukuliwa, akaandika FRIJI LINAUZWA LAKI 3,usiku uleule likaibiwa.