Habari za wakati huu wanajamvi wataalamu wa Mambo ya umeme naomba msaada,Nina kofriji kidogo nikikonect na umeme kinawaka kama dk moja kinazima, halafu baadae kinajiwasha Tena kinazima hivyo hivyo sijui tatizo Ni Nini naomba mnisaidie kutambua tatizo na Kama Kuna fundi mitaa ya karibu na lufungira mwenge Mlimani survey au sinza naomba mawasiliano yake, Asanteni Sana