INAUZWA Friji used aina ya samsung kubwa inauzwa

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
Friji kubwa kabisa used aina ya Samsung yenye milango miwili inauzwa kwa bei nzuri tu ya shilingi laki 450,000/= pia mazungumzo yana ruhusiwa.Friji bado ipo kwenye hali kabisa.Kwa serious buy only pliz call 0654 788778.

IMG_20180226_042940.jpeg
IMG_20180226_043018.jpeg
IMG_20180226_043010.jpeg
 
imekarabatiwa ,sana ndo maana bomba za cooling zinaonekana, ilikuwa na tatizo gani
 
Kwisha habari. Cooling pipes ivooo. Hata kugandisha ni shida. Seems ilikuwa inavuja gas ndani. Anyway ni nzuri
 
Hiyo frij imechoka mkuuu, bora uwe mkweli kwa wadau humu ndani kuliko kuingiza watu chaka. Mfumo wa upozaji umesukwa upya kienyeji kitu ambacho ni hatar kwa maisha frij hilo.
 
Wakuu ninatangaza kwa mara nyingine kuwa ninauza Friji kubwa na nzuri kwa matumizi ya familia aina ya Samsung kwa bei nxuri tu ya 400,00/=. For serious buyer only call 0654 788778.
IMG_20180226_043018.jpeg
IMG_20180226_042945.jpeg
 
Elfu arobaini (400,00/=) au laki nne (400,000/=)..
Kwa andishi lako it is either umekosea kuweka mkato au umesahau sifuri...
Kama ni forty nipe location niifuate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom