Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,562
- 21,725
Asante sana mkuu, ushauri wako na hiyo nickname yake hapo juu hakika vinaendana.Hapo nachokushauri hiyo compresor badili relay yake ndio inaleta shida inafungua moja kwa moja badala ya kufungua na kufunga hivyo kusabbisha umeme mwingi kutumika
Option ya pili nunua compresor nyingine ya mtumba 80 k tu unapata funga friji linarudi katika hali yake
Kanunue jipya mku u,gharama utakazotumia mwaka mzima ni sawa na kununua friji mpya 2,au kama unalipenda sana hilo friji endelea hadivtumalize umeme wa Lufiji🏌🏌🏌Mwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Suluhisho ni kununua friji MPYA..Mwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hiyo uza haraka ununue za kisasa hazili umeme sanaMwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Fridge ulinunua mpya dukani ama yale ya mitumba?Mwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hiyo uza haraka ununue za kisasa hazili umeme sana
Mnapataje muda wa ku-calculate kuisha units za umeme halafu ilinganishe na friji?Mwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hata haya kisasa yana energy consumption categories: A1, A2, A3, B etc na kiasi cha umeme kwa mwaka kwa kila category. A1 ndiyo yenye matumizi kidogo ya kwa mwaka. Ukinunua friji tu kwa sababu ni mpya bila kuangalia hizo categories utaumiaHiyo uza haraka ununue za kisasa hazili umeme sana
Auze kwa fundi friji au kwa wanunua vyuma chakavu.Kwahiyo amuuzie nani? Mbona hamna utu!
Kama walivyokueleza badili relay ya compresa na hiyo thermostat kama haizimi na kuwasha sio tatizo. Fanya hivi liwashe toka saa 12 asubuhi mpaka saa 8 mchana na ulizime mpaaka saa 12 uwashe tena. ZIMA TENA SAA 4 USIKU. COMPRESA ITAKUWA IMEPUMZIKA MASAA YA KUTOSHA KWA SIKU SAA 10 KTK SAA 24 KWA SIKU PIA KUPUNGUZA GHARAMA YA UMEME. Vile vitu vinavyoharibika kwa haraka weka ktk sehemu ya ubardi mkali baada ya kuzima hasa saa 4 usiku mpaka asubuhi. Havitaganda. HIVI WATUMIAJI WA HIYO JOKOFU WATAPATA AKILI YA KUBANA MATYMIZI YA UMEME.Mwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8 zinakatika, nimejaribu kuingea na huyu fundi anadai eti wiring nyumba ni mbovu na sio friji,
Ushauri wakuu,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Iko hivi mkuu, mwanzo kabla halijaharibika nilikuwa naweza kuliwasha hata masaa 24 na umeme unaotumika ni units za kawaida hata unit10 hazifiki ila shida ilikuja pale fundi alipolitengeneza akasema tuliache kama nusu saa hivi, kabla ya hata hiyo nusu saa units 8 zikawa zimekata na sio jambo la kawaida, nikaweka tena umeme kisha nilipoliwasha units zikawa zinatembea kwa speed ya mwanga,Mnapataje muda wa ku-calculate kuisha units za umeme halafu ilinganishe na friji?
Okay. Tuma salamu kwa watu watatuIko hivi mkuu, mwanzo kabla halijaharibika nilikuwa naweza kuliwasha hata masaa 24 na umeme unaotumika ni units za kawaida hata unit10 hazifiki ila shida ilikuja pale fundi alipolitengeneza akasema tuliache kama nusu saa hivi, kabla ya hata hiyo nusu saa units 8 zikawa zimekata na sio jambo la kawaida, nikaweka tena umeme kisha nilipoliwasha units zikawa zinatembea kwa speed ya mwanga,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Du, 24hrs units 10!Iko hivi mkuu, mwanzo kabla halijaharibika nilikuwa naweza kuliwasha hata masaa 24 na umeme unaotumika ni units za kawaida hata unit10 hazifiki ila shida ilikuja pale fundi alipolitengeneza akasema tuliache kama nusu saa hivi, kabla ya hata hiyo nusu saa units 8 zikawa zimekata na sio jambo la kawaida, nikaweka tena umeme kisha nilipoliwasha units zikawa zinatembea kwa speed ya mwanga,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Duuuu mkuu kweli maisha hayako fair yaani unit 10 ndio matumizi yangu ya nusu mwezi na hapo friji nawasha angalau masaa 4,tv, kunyoosha nguo na mara moja moja kuchemsha maji kwa heater!!!Iko hivi mkuu, mwanzo kabla halijaharibika nilikuwa naweza kuliwasha hata masaa 24 na umeme unaotumika ni units za kawaida hata unit10 hazifiki ila shida ilikuja pale fundi alipolitengeneza akasema tuliache kama nusu saa hivi, kabla ya hata hiyo nusu saa units 8 zikawa zimekata na sio jambo la kawaida, nikaweka tena umeme kisha nilipoliwasha units zikawa zinatembea kwa speed ya mwanga,
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Du, 24hrs units 10!
nakuona mzee wa kerege vp hawajambo wale mapacha wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnapataje muda wa ku-calculate kuisha units za umeme halafu ilinganishe na friji?
hzo category zmeandkwa kwny frij au ntajuaje kuwa hili ni A1 au A2 nk?Hata haya kisasa yana energy consumption categories: A1, A2, A3, B etc na kiasi cha umeme kwa mwaka kwa kila category. A1 ndiyo yenye matumizi kidogo ya kwa mwaka. Ukinunua friji tu kwa sababu ni mpya bila kuangalia hizo categories utaumia