Wazee wa nyotaUrafiki huwa unakuja automatic tu hamna cha kuangalia tarehe wala nini π
Pumbavu kbsaWazee wa nyota
π π πUrafiki huwa unakuja automatic tu hamna cha kuangalia tarehe wala nini π
ππππ wewe hutaki mambo ya nyota?Wazee wa nyota
Naomba tuwe marafiki basiπ π π
Sijui kama nataka, ila nyota yangu na yako zimeendana tu automatic πππππ wewe hutaki mambo ya nyota?
Punguza hasira bwasheePumbavu kbsa
Hahaha huyu mleta Uzi sijui kama amewaza huwa inakuja automatic ππSijui kama nataka, ila nyota yangu na yako zimeendana tu automatic π
Anataka kuiba nyota zetu? LolWazee wa nyota
Mzee wa nyota huyo , Kuna group moja la watu wa nyota nilikuwepo wake za watu walilombwa na jamaa mmoja vibaya sana kwa madai ya kuwachajia nyotaHahaha huyu mleta Uzi sijui kama amewaza huwa inakuja automatic ππ
Hapana ana linganisha, wana sema wanao endana ki namna fulani mambo hujipa.Anataka kuiba nyota zetu? Lol
Mmmh hata sielewi. Haya kila la heri kwake.Hapana ana linganisha, wana sema wanao endana ki namna fulani mambo hujipa.
ngoja ni simplify, hizi hesabu za nyota ni kama simple math.Mmmh hata sielewi. Haya kila la heri kwake.
Nahisi kama naendana na ww. Nimezaliwa octoberπngoja ni simplify, hizi hesabu za nyota ni kama simple math.
wana amini watu walio zaliwa trh fulani, wenye majina fulani, walio zaliwa siku fulani, huendana na watu wengine kwa njia tofauti kwenye maisha.
It's like 1+2, 3+3, π π
ππkashesheWazee wa nyota
Ina sikitisha sana,, nyoka halambi unga kudadadeki π πMganga wako ndo amekuambia kafara inawafaa hao watu wa hizo trh?
ππ Hautaki upate wa nyota yako wewe?ππkasheshe