Am a beautiful lady, sina mume, mchumba wala kidumu, niko free kabisaa
Njoo kabuhoro mlimani huku kuna madada poa kibaooo
lengo lako kuu?
Am stranger on the city a good company will also guide me appart from making new friend
Kwani wanawake mrembo ndio compass au ramani hadi ndio wakuelekeze??? sema unataka mdada wa kufanya naye ngono sio unazunguka oooh mimi mgeni Mwanza, sina kwa kwenda, nahitaji company (unahitaji company kwani wewe muhisani au mwekezaji?)
Haya ondoka haraka sana hapa CC hakuna hao watu unaowahitaji...phweeee!!!
Hahahahaaaa jomba umeuaaa....mi niko Mwanza lakini sidanganyikiii
Mkuu watu8, jamaa kagusa maslahi nini, mbona unampiga fitna kiasi hicho?Kwani huko Mwanza si ulienda mwenyewe? au kuna mtu amekutapika ndio ukajikuta upo Mwanza??
Guys am in Rock City, I need just a company, i dont even know places to go, any beautiful lady who is free and interested plz pm me!
Am a beautiful lady, sina mume, mchumba wala kidumu, niko free kabisaa
wewe binti ushawahi kuchunwa ngozi wewe? Shaurizo we jipendekeze tu.
Mkuu watu8, jamaa kagusa maslahi nini, mbona unampiga fitna kiasi hicho?
Mpe nafasi ajivinjari na akina charminglady bana... usiwazibie wenzio kufaudu offer za msimu!
Anataka beaty lady..lengo lako kuu?
Anataka beaty lady..