Friends in Mwanza

Friends in Mwanza

Am a beautiful lady, sina mume, mchumba wala kidumu, niko free kabisaa
 
Kwani wanawake mrembo ndio compass au ramani hadi ndio wakuelekeze??? sema unataka mdada wa kufanya naye ngono sio unazunguka oooh mimi mgeni Mwanza, sina kwa kwenda, nahitaji company (unahitaji company kwani wewe muhisani au mwekezaji?)

Haya ondoka haraka sana hapa CC hakuna hao watu unaowahitaji...phweeee!!!
 
Hahahahaaaa jomba umeuaaa....mi niko Mwanza lakini sidanganyikiii
 
Kwani huko Mwanza si ulienda mwenyewe? au kuna mtu amekutapika ndio ukajikuta upo Mwanza??
Mkuu watu8, jamaa kagusa maslahi nini, mbona unampiga fitna kiasi hicho?

Mpe nafasi ajivinjari na akina charminglady bana... usiwazibie wenzio kufaudu offer za msimu!
 
Last edited by a moderator:
Guys am in Rock City, I need just a company, i dont even know places to go, any beautiful lady who is free and interested plz pm me!

Unataka ladies sio friends. Zama tu front mitaa ya starehe Mwanza mbona wapo wengi tu. Kama pochi haijavimba usiende
 
wewe binti ushawahi kuchunwa ngozi wewe? Shaurizo we jipendekeze tu.

nani wakuchunwa ngozi wewe,, yeye ndio amekaa kuchunwachunwa ngoja watoto wa mujini tumuonyeshe na elazake alizotoka kuuzia ng'ombe... Hivi hamna fastjet ya usiku.... Mwanza mbali ujue
 
Hahaha...hapana mkuu, nijuavyo mimi mwanaume hatakiwi kuzunguka sana kueleza nia yake...sasa mara msichana mrembo, mara company, mara mgeni!!!

Mkuu watu8, jamaa kagusa maslahi nini, mbona unampiga fitna kiasi hicho?

Mpe nafasi ajivinjari na akina charminglady bana... usiwazibie wenzio kufaudu offer za msimu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom