Friends for Life

We Cool Gentleman vipi wewe? Kwani kwenye ule uzi ulikuwa unatafuta mchumba au rafiki wa kike wa kumjali? Halafu una tabia mbaya! Mambo ya ule uzi unayaleta vipi huku? Ndio maana ninakuambia hujakua wewe! MadameX njoo nisaidie huku huyu dogo ananidhalilisha!
 
Last edited by a moderator:

MadameX hawezi kukusaidia maana file lake natembea nalo liko kwenye top 3 hawezi kukubali kuharibiwa na wewe. Wewe niloposoma utangulizi tu, nikaweka kando. Sasa hasira zako umehamishia huku. Si vizuri unajua. lol

Pumbavuuuuuuuuuuuuu (Kama ya Ray wa Bongo Movie)
 
Usipoangalia na wachumba wenyewe utawatisha kwa jinsi ulivyo bingwa wa kutukana. Sasa hapo hujanywa zile pombe zako ukilewa je? Usijesema sijakuambia.
 
Haaaaa haaaaa

Mi siko hivyo bana. Usinipeperushie ndege wangu.
 
525861_352185268162152_1662831796_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom