Friend of Simba pekee hamtaifikisha timu popote

Friend of Simba pekee hamtaifikisha timu popote

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Kaeni chini jiulizeni wakina nani mmewakosea

Kumbukeni kuna usajili umefanywa na viongozi wa nyuma

Kuwasema vibaya uchaguzini mmeshinda mrudi kati kuyamaliza

Simba daima bishana mpaka kufa kama kadi yetu isemavyo ila loh

Vingine abishiiiki tuyamalize
 
Ukiwa na hasira nakushauri usishike pen na karatasi kuandika kitu. .Maana utaandika vitu visivyoeleweka kama ulivyofanya
 
angalau kidogo team imecheza na tumeina mipira ikigonga miamba...
 
Kaeni chini jiulizeni.wakina nani mmewakosea

kumbukeni kuna usajili umefanywa.na.viongozi.wa nyuma

kuwasema vibaya uchaguzini mmeshinda mrudi kati kuyamaliza

simba daima bishana mpaka kufa kama kadiyetu.isemavyo ila loh

vingine abishiiiki tuyamalize

ndo nini sasa mkuu? Ulikuwa umepata kinana nini?
 
angalau kidogo team imecheza na tumeina mipira ikigonga miamba...
Crashwise timu yetu ilipata laana tokea huyu aihusishe na lichama lake,
ImageUploadedByJamiiForums1412485662.135765.jpg
Tunapaswa kuandaa ibada ya kuondoa laana hiyo na ikibidi kondoo wa kafara awe yeye mwenyewe. Mie huyo sina hamu naye kabisa kwa jinsi alivyotaka kuifanya timu kama sehemu ya chama chake
 
Last edited by a moderator:
Kaeni chini jiulizeni wakina nani mmewakosea

Kumbukeni kuna usajili umefanywa na viongozi wa nyuma

Kuwasema vibaya uchaguzini mmeshinda mrudi kati kuyamaliza

Simba daima bishana mpaka kufa kama kadi yetu isemavyo ila loh

Vingine abishiiiki tuyamalize

Aveva amefanya kosa kubwa sana kama rais, baada ya uchaguzi alitakiwa avunje makundi timu iwe kitu kimoja, lakini yeye akaja na maamuzi ya kipuuzi kabisa ya kufukuza waliompinga, hii itaighalimu sana Simba, na asipokuwa makini wanachama tutamfukuza baada ya kufungwa na Yanga wiki ijayo.
 
aveva amefanya kosa kubwa sana kama rais, baada ya uchaguzi alitakiwa avunje makundi timu iwe kitu kimoja, lakini yeye akaja na maamuzi ya kipuuzi kabisa ya kufukuza waliompinga, hii itaighalimu sana simba, na asipokuwa makini wanachama tutamfukuza baada ya kufungwa na yanga wiki ijayo.
wanachama waliokwenda mahakamani ilikua ni lazima wafukuzzwe kwa katiba ya fifa
 
HII NI TAFAKURI YA MTAANI TU UKWELI NI KWAMBA WACHEZAJI WENGI WALIOSAJILIWA HAWANA MSAADA NA TIMU, BANDA, Kiongera, Maguli, Mgeveke, Casilasi wote no sheeda tu, waliobaki ni wale watoto akina messi, ndemla, ambao wameota mabawa, wengine akina cholo na kiemba ndio saa kumi na mbili jioni, beki hakuna Miraji Adam ni shida sana tangu aumie hafiki kwenye matukio na anakabia ndani, Owino naye majeruhi yanamtesa sana, Ishaka anatumia akili hana nguvu, beki tegemeo pale ni Shabalala tu, wachezaji waliobalia ni majanga tu kwa sasa angalia Chanongoi, Uhuru, Baba Ubaya, messi wa Tanga, Awadhi Juma wote wanatuowa jukwaani tu siku hizi,

Tufanye uchambuzi kama GT sio kushawishika na uchambuzi wa mitaani na kuuleta hapa eti kuna kundi tumelikosea.so what ............TUKALOGE!!!!???
Kaeni chini jiulizeni wakina nani mmewakosea

Kumbukeni kuna usajili umefanywa na viongozi wa nyuma

Kuwasema vibaya uchaguzini mmeshinda mrudi kati kuyamaliza

Simba daima bishana mpaka kufa kama kadi yetu isemavyo ila loh

Vingine abishiiiki tuyamalize
 
kuna mchawi yupo simba kama alivyosema jamhuri kiweru timu inapangwa na kaburu hata kasimu dewji hakupenda kaburu awe makamo mwenyekiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom