Friend of Simba pekee hamtaifikisha timu popote

Friend of Simba pekee hamtaifikisha timu popote

ndo nini sasa mkuu? Ulikuwa umepata kinana nini?

MKUU NGONYANI SAMAHANI NAJUA MSHAZOE KISWAHILI CHA MAPUNDA//TEMBO SIMBA NK

UKIWA SHABIKI WA SIMBA UTOULIZA HILI KWA KUWA RAFIKI MWEMA UTOKA JF NGOJANIKUSAIDIE

imba daima bishana mpaka kufa kama kadiyetu.isemavyo ila loh.....

Bishana means kubishana

kadiyetu isemavyo inaamaa kadi yetu inasema nini "Bishana mpaka kufa""



kuwasema vibaya uchaguzini mmeshinda mrudi kati kuyamaliza

maana yake :kuwasema vibaya kwenye uchaguzi viongozi waliopita na kwa kuwa mmeshinda mrudi kwenye maongezi kuyamaliza .....kidogo najua tatizo la kudesa linakusumbua vingine unaongeza akili yako kidogo kuelewa usiwe kama wakina mad......bana
 
Tatizo Okwi ndio nuksi huyo, fukuzeni Okwi kila kitu kitaenda sawa, kwa sababu jamaa analaana
 
HII NI TAFAKURI YA MTAANI TU UKWELI NI KWAMBA WACHEZAJI WENGI WALIOSAJILIWA HAWANA MSAADA NA TIMU, BANDA, Kiongera, Maguli, Mgeveke, Casilasi wote no sheeda tu, waliobaki ni wale watoto akina messi, ndemla, ambao wameota mabawa, wengine akina cholo na kiemba ndio saa kumi na mbili jioni, beki hakuna Miraji Adam ni shida sana tangu aumie hafiki kwenye matukio na anakabia ndani, Owino naye majeruhi yanamtesa sana, Ishaka anatumia akili hana nguvu, beki tegemeo pale ni Shabalala tu, wachezaji waliobalia ni majanga tu kwa sasa angalia Chanongoi, Uhuru, Baba Ubaya, messi wa Tanga, Awadhi Juma wote wanatuowa jukwaani tu siku hizi,

Tufanye uchambuzi kama GT sio kushawishika na uchambuzi wa mitaani na kuuleta hapa eti kuna kundi tumelikosea.so what ............TUKALOGE!!!!???

Chanongoi, Uhuru, Baba Ubaya, messi wa Tanga

heeeheee huyu mwenye nyekundu bado yupo si walimtupiaga virago kipindi fulani ?/
 
SIMBA JITAYARISHENI NA HII HALI SIKU YA MECHI

attachment.php
 
Mungu saidia hii ndoto niliyoiota usiku wa jana itimie tarehe 18, ili tuwazibe midomo hawa vizabizabina wanaochonga dhidi ya Chama Langu Simba Sc.
 
kesheni mkiomba simba isifungwe na yanga , maana mkifungwa hapo msimu wote wa ligi ni kichapo tu
..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom