Inategemea unawasha kwa muda gani.. kwa mfano kila kifaa ukikiwasha kwa saa moja;
1. fridge itakula 0.09Kwh
2. radio itakula 0.25Kwh...
Nikionacho hapo ni fridge kuwashwa continuously 24/7 wakati redio unaiwasha ukiwa home tusasa bro mbona wananiandama eti fridge langu linamaliza luku? kipindi kabla sijanunua fridge tulitumia units 5/day pamoja na redio ya 250W ila sasa hivi ilivyoongezeka fridge units 5 hazitoshi zinaenda mpaka units 8/day
sasa bro mbona wananiandama eti fridge langu linamaliza luku? kipindi kabla sijanunua fridge tulitumia units 5/day pamoja na redio ya 250W ila sasa hivi ilivyoongezeka fridge units 5 hazitoshi zinaenda mpaka units 8/day
huwa usiku nalizima na kuliwasha mchana kutwa, pia kuna mpangaji mwenzangu ana fidge fupi hizi.. sasa huyu jamaa tulimwekea vikwazo asitumie kabisa ile fridge inatafuna luku si mchezo masaa 3 units 5 zinaisha mimi wakaniruhusu nilitumie langu sasa wameshanza niekea jam tena eti linakula umemekuna uwezekano kuna mtu mwingine ana fridge kama wewe ukweli ni kwamba ili zifike unit 8 kama wanavyodai friji lako linakula umeme uwiano ni kwamba friji inawaka masaa 33 ndio zitaongezeka unit 3 je unaliwasha kwa muda huo??
huwa usiku nalizima na kuliwasha mchana kutwa
kuna uwezekano mkubwa kuwa matumizi wengine wameongeza kwa kujua wewe una friji ili tu mkomoane... maana kwa mahesabu ya fasta mchana kutwa haizidi masaa 15..
Eti wataalamu wa mambo kati ya hivi vifaa vya umeme fridge ina 90Watts na radio ina 250Watts vikiwa kwenye matumizi ipi inakula umeme sana?
sasa bro mbona wananiandama eti fridge langu linamaliza luku? kipindi kabla sijanunua fridge tulitumia units 5/day pamoja na redio ya 250W ila sasa hivi ilivyoongezeka fridge units 5 hazitoshi zinaenda mpaka units 8/day
Fridge ina mota...'induction power'...na mara nyingi uwa inajiwasha na kujizima...wakati inajiwasha huwa inanyonya umeme mwingi kwa ajili ya hiyo (induction power), starting power inaweza kufika hata 500W ingawa inakuwa kwa muda mfupi. Hivyo kuna uwezekano ongezeko hilo linatokana na frigdge.
Redio unafikia kiwango cha 250 W pale unapofungulia kwa sauti kubwa...maximum volume. Lakini kama redio unafungulia kwa sauti ya chini...kunauwezekano ikawa inatumia just 80 W.

Kwa nyongeza licha ya kufungulia vol hadi mwisho inategemea unasikiliza nini. Kusikiliza mziki mzito ni tofauti na kusikiliza hotuba ya Obama. Ulaji wa umeme ni tofauti.