Friday Vibe.... #Jozi Matata....

Friday Vibe.... #Jozi Matata....

Nlikua nakuchukulia Mbibi kumbe bado Kigoli mbiiichi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app


Aliyekwambia mie ni kigoli mbichi hakutakii mema, sio tuu kakudanganya.... amekupotosha.

Kasie ni boongee la kikongweee kizeeee.

Nnavopenda kuamkiwa sasa.... tabasamu linafunika uso wote heheheheehhee.

K’ Matata.
 
Back
Top Bottom