Friday Vibe.... #Jozi Matata....

Friday Vibe.... #Jozi Matata....

K sio matata tena?
Ila bibi una majaribu, mimi sio mpenzi wa sweet wine, I am a loyal customer of Castle lite for 6 straight years.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
She is and will always be K’ Matata
Mahaba na Matata are one and same and they’ll never be apart...

You asked because you see new name .... Chuban eeehhh

Hahahahhaa hata yeye ( Chuban) alikuwa halijui hili jina, I gave him yesterday. Baada ya kulisoma hapa he text me on WhatsApp ..... Chuban.....

Hehehehehhehee

Kasie Chuban and K’ Matata are one and same.

Ajabu la kasie uloliona ni lipi???!

Kunywa wine...!!??

So you are light drinker....

Kasinde.
 
Ni jaribu sio ajabu bibi Kasie, vaa miwani( am kidding), yeah I am always a light drinker, and I don’t prefer wines, I think because when it comes to drinking I am a marathon type of guy, toa gambe weka gambe.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni jaribu sio ajabu bibi Kasie, vaa miwani( am kidding), yeah I am always a light drinker, and I don’t prefer wines, I think because when it comes to drinking I am a marathon type of guy, toa gambe weka gambe.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Looh ulijuaje, sikuwa nimevaa miwani.

Sasa na majaribu gani Babuu

Hapo kwenye kata mti na panda mti kwenye gambe, mbona sikusomi kwenye uzi wa walevi wenyewe wanajiita wanywaji aka walipa kodi...

Bibi napenda vitu vitamu mie, vichungu akuu....

Kasie.
 
Nimepumzika siku hizi, nimewaachia kijiti chipukizi na wale wasiokubali kwamba muda wao umepita. Ila siku moja moja huwa nakumbushia enzi zangu za kata mti panda mti.Ndio maana nikakwambia majaribu hayo, unanitamanisha.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
vibes za kasie akiwa high...i can feel it😍😍😍unahis unabreath mapenzi mapenzi tu🍆🙈
 
Hahahahahhaaa yaani hii nyota ya mahaba hii, kila uchao inaning’aria....

Halafu sasa muda wote natabasamu na kucheka hadi naona uso umekuwa mdogo kwa kujaa tabasamu.

Kasie Matata Chuban.
 
Mrs Chuban😊..enjoy this moment!
 
Mrs Chuban😊..enjoy this moment!

Thank you mane, leo nimejipikilisha mchana nikawa nateta na Chuban huku napika.....

Hahahahahhaa mara nasikia kibao cha maeneo yaliyobinuka... mara nilishe .... mara ninyweshe juice....

Basi hadi namaliza kuosha vyombo looh hoooiii (mahaba rundo).

Vurugu za Chuban na Kasie ni full Matata.
 
😅😅😅😅😍😍😍msalimie kaka Chuban😊...
 
Back
Top Bottom