Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,976
Hichi kipindi cha sam misago eatv nilikuwa nakifuatilia sana zamani nilikuwa sikosi mambo yalikuwa hot surprise kibao za wasanii wakija kuzungumzia kazi zao
Ila siku hizi naona kama mambo yamebadilika hasa akija huyu jamaa wa udaku jamaa anaharibu kabisa show na lingine kuhusu tangazo la tatu mzuka linachuku dakika 15
Hii show imenishinda kwa sasa sijui wadau mnasemaje