Friday- Hii wiki imekimbia sana.

Friday- Hii wiki imekimbia sana.

mamyy tubadilishe this wekend tukue mbaramwezi club!!!
 
Pumzikeni salama enjoy weekend rose.gif
 
kwetu kuna mwali analazimishwa kutoka kapatikana mchumba mwenye mifuko iliyotuna, kwa hiyo yale maji yetu na mdundiko kwa kwenda mbele
KARIBUNI
 
Nani atakuja kawe club kwenye samaki wa kuchoma.

Babii vipi? kuna issue wekend hii?
Mamito hujambo ? nimechelewa kuiona samahani hapa niko club nimechoka na Taquilla za kupima nimechukua chupa nzima na chumvi/ndimu zangu pembeni,jumamosi vipi utakuwa wapi ?
 
Nani atakuja kawe club kwenye samaki wa kuchoma.

Babii vipi? kuna issue wekend hii?
Mamito nilikwama kwenye jukwaa la celebrite hata sikuiona hii lol!
Sie kwetu leo kuna mdada kajifungua analetewa besen hata sijui ndio shuhuli gani nataka niishuhudie!
Karibu mamito!
 
Mamito nilikwama kwenye jukwaa la celebrite hata sikuiona hii lol!
Sie kwetu leo kuna mdada kajifungua analetewa besen hata sijui ndio shuhuli gani nataka niishuhudie!
Karibu mamito!

hapo lazima taarab kwa kwenda mbele mixer mmama wakusasambua kwenye hiyo beseni hayo ndio ya uswahilini..
 
Back
Top Bottom