Yaani sijui kwanini dame ukishamkojolea tu unaanza kumuona utopolo na kuanza kufikiria wale ambao hawajakupa kitobo, imagine unafukuzia dame wiki2 au mwezi ukishamvua tu unamuona hana jipya
wao ndo wanafanya inakua hivo,
demu ambaye hujatumia nguvu kubwa kumpata huwa kila mda unatamani uwe nae, ila hawa wengine wanajiita wawekezaji utawekeza, ukishamla hana maajabu tena
Wanawake wazuri wapo na huwa mnawapata sema tamaa zenu za kutokuridhika ndizo zinazowafanya waondoke kwenye maisha yenu.Wacheni tuondoke ili tupate wale watakaojua na kuona mchango wetu na thamani yetu.Mapenzi ya sasa hivi ukiona sehemu hupendeki unaondoka tu.
We kama umempenda demu , tongoza akikubali tambaa naye akikushinda kaa pembeni, jitahd upate hitaji la moyo wako , hata Simba hula majani pale tuu anapokosa nyama kabisa tatizo vijana mnakuwa na toomuch attention, mnaogopeshana kwenye hamna