Fresh news: Ukweli kuhusu mgomo wa madaktari - part II

Umeandika vizuri sana na kufafanua kwa kina justification ya mgomo unaondelea.
Ni ukweli usiopingika kuwa katika ufisadi huu unaotangazwa kila siku bado kuna fani adhimu ambayo hawalipwi vizuri na inaelekea kuna watu ambao hawajali maslahi yao.

Ni wazi kuwa serikali imeshindwa kutoa kipaumbele kwa madai ya madaktari.
Ninashukuru pia kutufafanulia kuwa mostly walio kwenye mgomo ni madakatari wote ispokuwa AMO (assistant medical officers) na hili linanipa faraja kwani ndo wengi katika hospitali za wilaya na mikoa ambapo idadi kubwa ya watu wanatibiwa.Najaribu kutafuta tafsri sahihi ya neno daktari ili niweze kuchangia kipengere hicho vizuri.

Hata hivyo kwa mnasaba hu huo wa kuanza kuweka madaraja katika mgomo huu naomba niingie katika mojawapo ya madai yenu ya kuwa mnahitaji mazingira bora zaidi na vitendea kazi.Dai hili lilipaswa kuwakilishwa na hao ambao hawapo kwenye mgomo huu kwani tukiangalia ratio ya MD kwa AMO katika hospitali zinazohudumia watanzania wengi utagundua ya kuwa hao wanaotengwa kwa sasa ndo wengi zaidi na hivyo ndo wanahudumia katika mazingira magumu zaidi.

Naomba sasa nitoe mtizamo wangu kuhusu suala hili ingawa nimefanya hivyo katika thread nyingine.
Pamoja na kukubaliana na madai yote napingana na nyie katika hatua ya kugoma.
Naomba niweke katika mtindo wa maswali,

  1. Je Daktari akigoma na nani anayeathirika zaidi?
  2. Katika kufikia malengo (pursuing for goals) binadamu anakuwa anaongozwa na nguvu au mategemeo fulani,je mlioamua ku pursue for medical field mlikuwa mnaongozwa na mtizamo gani?
  3. Inawezekana hesabu ikawa hivi,tugome,wananchi wafe,wananchi waichukie serikali na kisha serikali ianguke ni ije serikali nyingine.Ni nani ana uhakika kuwa wananch wetu (walio wengi)wataungana na Madaktari kuiangusha serikali?
  4. Tumeshuhudia zyama venye sera nzuri vikikosa uongozi kwa kuwa walio wengi hawakuvipigia kura.

Naungana nanyi katika madai yenu lakini SI KATIKA MGOMO, kuacha watu wafe kwa mtu aliyesomea fani ya kuokoa maisha ni jambo ambalo mwisho wa siku halitamtofautisha na Al qaida anayelipua soko ili kumuua Mmarekani mmoja.
Serikali imetetemeka basi rudini katika mazungumzo na rudini kazini,TUTAWAONA ni waungwa zaidi.
haina shida mkuu! everyone is entitled to his opinion even though he/she might be a fool!
elewa kwanza system nzima ya afya, ngazi za wafanyakazi na kila ngazi inafanya kazi zipi.....
Assistant Medical Officer ni mtu ambaye yuko traine kumassist Medical Officr (MO) ambaye ndio anajua jinsi ya kutibu< kwa kifupi ndio kichwa chenyewe.... MO ndio ngazi ya kwanza ya udaktari, huwezi kuitwa daktari wa afya unless una degree ya medicine.... AMO ni supportive crew, lakini kutokana na uhaba wa madaktari nchini tangu kada ya afya ianzishwe, imetokea kuwa zile few know hows ambazo anapewa AMOkatika training yake ndio anazitumia kutibia watu because hakuna MO... Lakini pale anapofanya kazi MO ndio palepale anapofanyia kazi AMO, mazingira ya kazi ni yle yale! Kuhusu mgomo, itabidi tuwasamehe tu madaktari wetu, kwa sababu hawana jinsi, wanadeal na serikali ambayo haijali maisha ya wananchi wake, hiki ndicho kinachotokea ukiwa na viongozi wa design kama tulio nao kwenye nchi yetu kipenzi Tanzania!
Maswali mengine google mkuu!
 
NASHUKURU SANA KUARIFIWA NA MWANZILISHI WA THREAD HII KUWA MADAKTARI NDIO KILA KITU NCHI HII NA WAO WAKO ABOVE EVERYTHING.

NDIO MAANA WAMEKAIDI KUTEKELEZA AMRI HALALI YA MAHAKAMA

ALAFU ANASEMA HAWAJAWEKA MAISHA YA WATANZANIA REHANI

WALE WANAOWATAFUTA WENYE MAAMUZI, WALE VIGOGO HAWAENDI AMANA WALA MWANANYAMALA

KAMA HAO WANAOTESEKA NA MGOMO SIO WATANZANIA , TUMEWAELEWA. KWA MADAKTARI WATANZANIA SIO WALE WANAOATHIRIKA NA MGOMO WAO NA UKAIDI WAO WA KUTEKELEZA AMRI YA MAHAKAMA. NI WALE AMBAO WANAFANYA MAAMUZI, ndio Watanzania.

Wanaposema MKATABA WA KUTUNZA AFYA SIO WAO WALIOINGIA NA WANANCHI; this is ****. ETHICS zimekuwa katika lowest levels nchi hii.

Madaktari wanachezea maisha ya wanadamu wenzao??

Kuna madaktari wanaenda kwenye maeneo ya vita kuokoa maisha, hawa wanaweka tools down?

THEY SHOULD BE ASHAMED OF THEMSELVES

FRESH NEWS: UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI -II.

Leo ningependa turudi jamvini kujadili kidogo kuhusu huu mgomo wetu, awali katika sehemu ya kwanza ya mada hii, nilijaribu kuainisha madai yetu, makubaliano na kuacha kwako mwanya wa kufikiri utendaji wa serikali yetu “SIKIVU” ilivyo na inavyofanya hadi sasa (kama hukubahatika kusoma hebu itafute facebook na Jamii forum ili upitishe macho KIDOGO TU ikiwa na thread title UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI)..leo nilifikiri si vibaya tukijadili kuhusu madhara ya mgomo huu.

HALI HALISI HOSPITALINI:

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Ocean Road Institute, Temeke, Mwananyamala, Amana, Bugando, Mbeya, KCMC, ST.Francis, Haydom, Dodoma n.k. huku kote hakuna kinachoendelea..madakatari kwa maana ya General practitioner na Specialist, sio Assistant Medical Officer,AMO( KWANI KUNA UTOFAUTI KATI YA NGAZI ZA UDAKTARI KUTOKANA NA KISOMO/ELIMU-nisingependa kwenda katika hili) .. Hii ni TOTAL TOOLS DOWN,(TTD), episode III..

Kama tulivyosema awali hatudai posho, na ongezeko la mishahara tu(hii si priority hata katika madai), ila eti kulingana na majibu ya serikali, tutegemee madai hayo katika next next fiscal year(2013/2014) lakini hebu jiulize
1. Madai ya madaktari yalianza lini?

2. Madiwani waligoma ama kudai mshahara/posho lini??!
3. Priority ya Taifa ni wananchi(kupitia madai ya madaktari) au viongozi(kupitia posho mpya za madiwani zilizotangazwa Bungeni)?
4. Nyongeza ya posho ya madiwani imetokea wapi?? ilipangwa katika bajeti?
5. Viongozi au wananchi hamuoni haya??

SISEMI TUNAHITAJI MISHAHARA YETU ILINGANE NA WABUNGE, MAWAZIRI, WAFANYAKAZI WA TRA, BOT, n.k..LA HASHA!! ILA UNAPODAI MAZINGIRA BORA YA KAZI, NYONGEZA YA MSHAHARA,POSHO NA UNAPEWA MAJIBU YA DHARAU,.. NA WENGINE KAMA VIONGOZI KUJIONGEZEA(during the same period of our claims), HAPO NDIPO COMPARISON INAPOTOKEA, NA KULAZIMISHA TUFANANE NA NYIE!!
Katika hospitali tajwa hapo juu, Wakurugenzi, wakuu wa idara wamekuwa wakifanya vikao na kulipwa 50,000/=TSHS@SIKU toka mgomo kuanza 23.06.2012.., Je, wananchi mnayajua haya? Jiulize kuna idara ngapi katika hospitali hizi? Nani anayetoa pesa hizi? Zitatoka hadi lini? Lengo kuu ni kushawishi, kushurutisha madaktari turudi kazini… !!

VYOMBO VYA HABARI:
Katika “episode” mbili za “series” yetu hii ya Mgomo wa Madaktari, vyombo vya habari vilianza kuripoti kuwa hakuna migomo, hadi pale watu wa HAKI ZA BINADAMU walipoingilia kati!!

Nasikititishwa sana na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), kutotoa taarifa halisi wakati watu wanazidi kupoteza maisha, kweli hawaoni? Hawajui au wanapuuzia?

Halafu mnatuita madaktari si wazalendo? KWELI?? Napata shida sana kuelewa inakuwaje watanzania wanaumia na viongozi kutotilia maanani madai yetu, ni kweli uhai wa mtu hauwekwi rehani lakini hatukuingia katika mgomo huu kwa kuweka maisha ya watanzania wenzetu katika mizani, na ndio maana muda wa mazungumzo ulikuwepo na hata kabla ya mgomo, muda wa wiki mbili ulitosha kujipanga, kwamba kama Serikali ikishindwa kutekeleza madai, AU kuonyesha njia mbadala ya kuyatatua basi ijipange kuhudumia wananchi.

Kama leo hii tunaangalia luninga(TV-mfano Mh. W/Afya pale Star TV kukimbia), tunasikiliza redio lakini mambo yanayofanya na serikali ni haya, umekwisha jiuliza ingekuwaje, ama Serikali yetu ingetutendea nini kama tungekuwa hatuwaoni wanachofanya pale Bungeni(Mfano Takwimu za uongo), na kwingineko? Hali hii itaendelea hadi lini? wewe unayesoma utabadilisha mfumo huu lini?

MKAKATI:

Usalama wa taifa wako kila hospitali, swali ni hili
1. Ni usalama wa Taifa au wa chama tawala?
2. Wanatumia pesa ya nani?
3. Last ‘episode” walileta wanajeshi,

KAMA MADAI YA MADAKTARI SI YA MSINGI NA SERIKALI IKO SAHIHI KWANINI WANAJESHI HAWAJATOA HUDUMA KAMA WALIVYOTOA HAPO MWANZO??

KWANINI HAWAKUWA TAYARI HATA WALIPOOMBWA KUFANYA KAZI MNAYYOIITA KAZI YA WITO????

MAKOLIGI (colleague)??
Ni lini wananchi waliingia mkataba na sisi juu ya afya zao??sasa mbona wanatulalamikia na kutushambulia??..nadhani wananchi mnakosea kidogo, dhamana ya afya zenu ni kwa hiyo serikali “sikivu”, hivyo lawama, maombi, na hisia zote pelekeni huko….ila sisi kurudi ni hadi pale madai yataposikilizwa, this time si kwenda kazini halafu yafanyiwe kazi? HAPANA..HII IELEWEKE VIZURI..HATUDANGANYIKI… hadi yafanyiwe kazi na kuthibitishwa au njia mbadala.
Najua wanasema when you get in a fight you should dig, two graves but I guess you should not fight with someone who has NOTHING to loose,.. We either overestimated the power of Government’s responsibility or They(Government) underestimated our power, and I really doubt of the latter because they KNOW they cant stop us.. you cant stop what you cant catch, because the more they will push us the worse this is going to get…
..Solidarity forever..
 
Kuna tatizo moja kubwa kwenye hoja zinazojengwa na Ellyjr8. Kuongelea nyongeza ya posho ya madiwani hakusaidii sana katika kujenga hoja ya matatizo ya msingi ya madaktari yaliyosababisha mgomo. Sana sana kunawafanya muonekane kuwa wanasiasa ndani ya majoho ya madaktari. Mimi nashauri mngejielekeza zaidi kwenye hoja za msingi zinazowasababisha kugoma kama mazingira duni na hatarishi kwa afya zenu, ukosefu wa vifaa vya kufanyia kazi, malipo duni etc. Muhimu zaidi ni kujibu hoja za serikali kuwa fani yenu kisheria hairuhusiwi kugoma, wameshafanyia kazi zaidi ya nusu ya madai mliyoyatoa awali na kuwa mengine ama hayatekelezeki mara moja ama yapo katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Vinginevyo mtapata wakati mgumu sana kuushawishi umma wa watanzania wenzenu kuwa mgomo wenu una manufaa kwa taifa hili.
****! Kaa, uangalie mgomo huu, ujifunze WEWE, sio ujaribu kuwafundisha wao (madaktari).
Huu sio mchezo, sio mambo ya kufuata sheria zilizowekwa na huyo ambaye unamgogoro nae. Hii ni REVOLUTION!
 
Umeandika vizuri sana na kufafanua kwa kina justification ya mgomo unaondelea.
Ni ukweli usiopingika kuwa katika ufisadi huu unaotangazwa kila siku bado kuna fani adhimu ambayo hawalipwi vizuri na inaelekea kuna watu ambao hawajali maslahi yao.

Ni wazi kuwa serikali imeshindwa kutoa kipaumbele kwa madai ya madaktari.
Ninashukuru pia kutufafanulia kuwa mostly walio kwenye mgomo ni madakatari wote ispokuwa AMO (assistant medical officers) na hili linanipa faraja kwani ndo wengi katika hospitali za wilaya na mikoa ambapo idadi kubwa ya watu wanatibiwa.Najaribu kutafuta tafsri sahihi ya neno daktari ili niweze kuchangia kipengere hicho vizuri.

Hata hivyo kwa mnasaba hu huo wa kuanza kuweka madaraja katika mgomo huu naomba niingie katika mojawapo ya madai yenu ya kuwa mnahitaji mazingira bora zaidi na vitendea kazi.Dai hili lilipaswa kuwakilishwa na hao ambao hawapo kwenye mgomo huu kwani tukiangalia ratio ya MD kwa AMO katika hospitali zinazohudumia watanzania wengi utagundua ya kuwa hao wanaotengwa kwa sasa ndo wengi zaidi na hivyo ndo wanahudumia katika mazingira magumu zaidi.

Naomba sasa nitoe mtizamo wangu kuhusu suala hili ingawa nimefanya hivyo katika thread nyingine.
Pamoja na kukubaliana na madai yote napingana na nyie katika hatua ya kugoma.
Naomba niweke katika mtindo wa maswali,

  1. Je Daktari akigoma na nani anayeathirika zaidi?
  2. Katika kufikia malengo (pursuing for goals) binadamu anakuwa anaongozwa na nguvu au mategemeo fulani,je mlioamua ku pursue for medical field mlikuwa mnaongozwa na mtizamo gani?
  3. Inawezekana hesabu ikawa hivi,tugome,wananchi wafe,wananchi waichukie serikali na kisha serikali ianguke ni ije serikali nyingine.Ni nani ana uhakika kuwa wananch wetu (walio wengi)wataungana na Madaktari kuiangusha serikali?
  4. Tumeshuhudia zyama venye sera nzuri vikikosa uongozi kwa kuwa walio wengi hawakuvipigia kura.

Naungana nanyi katika madai yenu lakini SI KATIKA MGOMO, kuacha watu wafe kwa mtu aliyesomea fani ya kuokoa maisha ni jambo ambalo mwisho wa siku halitamtofautisha na Al qaida anayelipua soko ili kumuua Mmarekani mmoja.
Serikali imetetemeka basi rudini katika mazungumzo na rudini kazini,TUTAWAONA ni waungwa zaidi.

Ni kweli mkuu.Hawa madaktari hata mimi naunga mkono madai yao lakini siungi mkono mgomo.Kwanza wanafanya siasa za kitoto kutudanganya eti kwao mishahara siyo kipaumbele,wanataka mazingira ya kazi yaboreshwe kwanza.Hapo asikudanganye mtu.Issue na kipaumbele ni pesa na siyo mazingira ya kazi.Hizo wanafanya ni siasa kama vile hatuna uwezo wa kusoma na kuelewa mambo
 
Go on Mkuu!! tuko nyuma yenu Hii gov. wasanii sana still wanadhani watz bado tuko kwa 70s 80s that they can fools us kisa wanamiliki kila kitu !! i wish teachers nao wange wa join muwabane upside down:dance:

isemee nafsi plz,
sema uko nyuma yake peke yako tusichanganyane!
 
Umeandika vizuri sana na kufafanua kwa kina justification ya mgomo unaondelea.
Ni ukweli usiopingika kuwa katika ufisadi huu unaotangazwa kila siku bado kuna fani adhimu ambayo hawalipwi vizuri na inaelekea kuna watu ambao hawajali maslahi yao.

Ni wazi kuwa serikali imeshindwa kutoa kipaumbele kwa madai ya madaktari.
Ninashukuru pia kutufafanulia kuwa mostly walio kwenye mgomo ni madakatari wote ispokuwa AMO (assistant medical officers) na hili linanipa faraja kwani ndo wengi katika hospitali za wilaya na mikoa ambapo idadi kubwa ya watu wanatibiwa.Najaribu kutafuta tafsri sahihi ya neno daktari ili niweze kuchangia kipengere hicho vizuri.

Hata hivyo kwa mnasaba hu huo wa kuanza kuweka madaraja katika mgomo huu naomba niingie katika mojawapo ya madai yenu ya kuwa mnahitaji mazingira bora zaidi na vitendea kazi.Dai hili lilipaswa kuwakilishwa na hao ambao hawapo kwenye mgomo huu kwani tukiangalia ratio ya MD kwa AMO katika hospitali zinazohudumia watanzania wengi utagundua ya kuwa hao wanaotengwa kwa sasa ndo wengi zaidi na hivyo ndo wanahudumia katika mazingira magumu zaidi.

Naomba sasa nitoe mtizamo wangu kuhusu suala hili ingawa nimefanya hivyo katika thread nyingine.
Pamoja na kukubaliana na madai yote napingana na nyie katika hatua ya kugoma.
Naomba niweke katika mtindo wa maswali,

  1. Je Daktari akigoma na nani anayeathirika zaidi?
  2. Katika kufikia malengo (pursuing for goals) binadamu anakuwa anaongozwa na nguvu au mategemeo fulani,je mlioamua ku pursue for medical field mlikuwa mnaongozwa na mtizamo gani?
  3. Inawezekana hesabu ikawa hivi,tugome,wananchi wafe,wananchi waichukie serikali na kisha serikali ianguke ni ije serikali nyingine.Ni nani ana uhakika kuwa wananch wetu (walio wengi)wataungana na Madaktari kuiangusha serikali?
  4. Tumeshuhudia zyama venye sera nzuri vikikosa uongozi kwa kuwa walio wengi hawakuvipigia kura.

Naungana nanyi katika madai yenu lakini SI KATIKA MGOMO, kuacha watu wafe kwa mtu aliyesomea fani ya kuokoa maisha ni jambo ambalo mwisho wa siku halitamtofautisha na Al qaida anayelipua soko ili kumuua Mmarekani mmoja.
Serikali imetetemeka basi rudini katika mazungumzo na rudini kazini,TUTAWAONA ni waungwa zaidi.
..hivi unadhani wewe una mkataba na Dr ili akuponye?? Hivi hujui wamehangaika kiasi gani mpaka kufikia kuwa ma Dr? Wewe unadhani unaweza kuwalazimisha kutibu? Je ikitokea Dr akasema ameacha u Dr, na kuwa mfanya biashara utamlaumu? Kuwa na akili japo kidogo tu ndiyo urudi utoe hoja hapa.

NB: Mimi si Dr, ila asilimia kubwa ya rafiki zangu ni Dr, na nimesoma nao toka o level mpaka form six, na we were very proud of being PCB na tuliona HGL is nothing na tulikuwa na akili sana na uwezo wa kufaulu vizuri, lakni ktk choice za chuo ndiyo hapo wengine tukaamua kwenda kwenye biashara baada ya kuambiwa Tanzania Dr hana thamani, na hili ndilo linathibitisha. Ila Dr wasikate tamaa!!!
 
Back
Top Bottom