Ndugu yangu hata ukizipata hizo frq,kama fundi hazijui inamaana hata kuifunga hiyo LNBF itakuwa mgogoro
jaribu 12562H au V,fec 26657-1/2,pia jaribu 12578V,fec 3100-3/4,kuna 12602V,fec 26657-2/3,pia 12682H,fec26657-1/2,na 12722V,fec 26657-1/2,kumbuka V NA H sio lazima ziwe km nilivyoandika ,so km v haikamati weka h,(kwa kukusaidia zaidi tembelea lynsat.com )