hizi frequency unazisetije kwenye strong decoder? mi mgeni hapa msaada
hizi frequency unazisetije kwenye strong decoder? mi mgeni hapa msaada
Shukria Mkuu hata mimi nina zaidi ya miezi siioni ngoja leo nikifika nyumbani milango ya jioni niweke nione. niliikosa ile tamthilia ya akina Maria angelas nafikir itakuwa iliisha kwisha.
He hivi kumbe haikwisha ukwelii niliacha wameikatisha halafu nikafikiri wameirudisha ni vile tu mimi nilikuwa siioni channel 10 nikadhani iliisha kwisha. kweli hawa hawana tofauti na TBC na wao waliikatisha ile ya Ma Doudou na wakwe zake bila taarifa. Kweli wapuuzi.wapuuzi sana hao jamaa.hiyo tamthilia ya UNTAMED BEAUTY.waliikatisha kikatili sana tena ikiwa imefikia kwenye chorus.
nafikiri star tv ni 3656 kwa 2894 kama sikosei ukishindwa ni PM nikuelekeze njia bora ya kuipata kwa dish la futi 6 mengine si ya wazi sana lakini ipo hewani,mimi natumia dish la futi 6
Channel ten wamebadilisha freq na ambao hawajapata ni kama ifuatavyo
freq: 4065.505
Sr 2848
fec 2/3
pls ni vertical
kule kule Cband
kazi kwenu
Vp kwa sie tunaotumia decoder za Dstv?inakubali?