Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

asante sana mkuu kwa sasa mimi nakula ch ten bila shida kabisa
 
Channel Ten polarity yake automatically ni Horizontal hebu badilisha kashata msifoji foji vitu
 
Channel ten wamebadilisha freq na ambao hawajapata ni kama ifuatavyo

freq: 4065.505
Sr 2848
fec 2/3
pls ni vertical

kule kule Cband

kazi kwenu

shukrani sana mkuu! ukipata na ya TBCCM naomba uniwekee hapa nijaribu kama nitaipata maana nina mwezi sasa imekata!!
:target:
 
mkuu jana ilikubali lakini leo inagoma nini tatizm?
 
Back
Top Bottom