French Foreign Legion.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,003
Habari za week end wadau?
Kuna hii kitu nimekutana nayo katika peruzi peruzivya mitandao,

Hili ni jeshi la Ufaransa linalo ajiri raia kutoka sehemu yoyote duniani na mwenye elimu yoyote kwa ajili ya misheni zao za kijeshi sehemu mbalimbali duniani.

Wanachofanya ni kukuajiri na kukupa mafunzo ya muda flani then mnapelekwa mstari wa mbele kwenye sehemu zenye machafuko huku duniani ambapo jeshi la ufaransa limeweka base.

Malipo yao kwa awali wanaanzia na euro 1000,kila kitu kuanzia chakula,malazi,matibabu na mavazi juu yao wenyewe,Unaenda na nguo ulizovaa tu.

Usaili unafanyika huko huko Ufaransa.

Binafsi naona kama ni fursa ya ajira kwa vijana wetu wa bongo hapa,hasa ukizingatia Mh kabana ajira hapa nyumbani,

Ndugu zetu mliopo huko ughaibuni hebu toeni michongo kwa ndugu zenu mliotuacha hapa.
cc Dr Rweyendera.
 
Mkuu ukiwa mwanajeshi yako vita,sasa unataka uwe mwanajeshi alafu ukaekae tuuu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom