Habari zenu wakuu;
Naomba radhi kwa wale wote walioshindwa kunipigia jana wakati soma la Kifaransa linafundishwa star t.v; inasababishwa na watu wachanche ambao wakipiga simu hawataki kuachia line kwa watu wengine. Kwa wale wapenzi wa lugha ya KIFARANSA, nawaomba msikate tamaa, hata kama somo linakua limepita, unaruhusiwa kunitafuta kwa muda wako kama bado unahitaji msaada zaidi.
Merci!
Bonjour, comment vous allez?bonjour
Très bien, merci, et vous?Bonjour, comment vous allez?
hapana nipo kazura mimba, kigoma.Uko Dar?
nikija mjini nitakuletea migebuka niamini mimi ni samaki mvuri kuliko king fish.usijali hivi karibuni utapata masomo mazuri kwenye Youtube. Wasalimie Kigoma...