#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Mkuu! Nni kweli kwamba hujaona lolote la maana kwenye post ya chahali? Hata hoja yake ya kututaka tupaze sauti kuonyesha kutoridhishwa kwetu na madhila yanayowapata akina Mbowe na matiko umeiona ni nonsense? Kweli? Hilo la waheshimiwa kukiuka masharti ya dhamana linahitaji ufahamu na tafakari ya kina,hatuwezi kulihukumu direct,ila jambo moja ni dhahiri kuwa serikali ya magufuli hailali kuhakikisha inawabana na kuwadhibiti wapinzani wote wenye ushawishi ndani na nje ya nchi hii,hilo tu linatosha kutuamsha na kutulazimisha tupige kelele!!! Ngoja niendelee kusoma comment za wengine labda naweza kupata mwanga zaidi.
 
Chadrama mcharuko mizee ya matukio wako kwenye mdundiko wa membe, oops sorry pesa imeisha katikati imebidi mdundiko uzimwe ..,
Uwiii bavicha Magoti lofaaaas
 
Bw. Chahali! Siku nyingine jifunze kucheza midundo ya mziki kwa jinsi mpigaji aliyoipiga na siyo kurukaruka utakavyo! Wanacdm watafanya nini cha ziada kama kauli ile inafanya kazi?
Najua unajua maana ya kauli ya mkulu kuwa huku kwetu haina tofauti na sheria kamili na huwa haipingwi hata na hao watunga sheria tu!
Agizo lake linasimama pamoja na yale mengine ya kupewa mshahara, gari, nyumba na marupurupu mengine ili ufanye aliyoyaagiza! Ni nani mwenye guts za kwenda against naye ili anyang'anywe mkate wake? Kimsingi hao kina Mbowe wanapambana na mihimili yote ya dola ambayo kwa sasa ipo chini ya mtu mmoja! Kama tu mhimili wa bunge ambao ulimtuma Matiko kazi na taarifa ikatolewa na umeshindwa kujisimamia kumtetea, wanacdm watakosa nguvu ya kumtetea siyo?
Naamini wanacdm hawapo kimya bali wanajipanga wakiamini ile kauli ya kimya kingi kina mshindo! Labda kama unawachokoza ili kujua wanachotafakari!
 
Yule wakili wa serikali anaeinajisi mahakama kwa kutumia upendeleo unaopewa upande wa mwendesha mashtaka hakika kuna siku hataweza kufurahia wenzake kuwa gerezani.. Alijaribu kwa Lema ila ile ajali haikumfundisha vizuri jinsi ya kutenda haki..
 
Thubutu yako walahi
Dadeki kwani hamjui makaburi
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Mbona unaheshimika sana hapa jf hasa kwa mada zako ambazo zimekujengea umaarufu sasa unaanza tena kupoteza mwelekeo !

Matusi yanasaidia kitu gani badala ya kutetea hoja yako?
 
Chadrama mcharuko mizee ya matukio wako kwenye mdundiko wa membe, oops sorry pesa imeisha katikati imebidi mdundiko uzimwe ..,
Uwiii bavicha Magoti lofaaaas
Sura ile! Ipo siku utaujutia ushabiki huu wa kindezi na usisahau kuwa kila mchuma janga hula na wakwao! Jela ni ya wote mjinga wewe!
 
Yule wakili wa serikali anaeinajisi mahakama kwa kutumia upendeleo unaopewa upande wa mwendesha mashtaka hakika kuna siku hataweza kufurahia wenzake kuwa gerezani.. Alijaribu kwa Lema ila ile ajali haikumfundisha vizuri jinsi ya kutenda haki..
Ondoa uwongo wako hapa
 
Mbona unaheshimika sana hapa jf hasa kwa mada zako ambazo zimekujengea umaarufu sasa unaanza tena kupoteza mwelekeo !

Matusi yanasaidia kitu gani badala ya kutetea hoja yako?
Jasusi hyooo alafu

Ova
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Neno la leo walahi uwiii
 
Nilikuwa najaribu kukuangalia na kukupima ni mtu wa kaliba gani, ila baada ya kusoma post hii nimekuweka katika daraja jingine kabisa.
Acha kukebehi ukimya wa watu! In sawa na kwenda msibani na kuwaambia wafiwa mbona hamlii Kwa sauti au hamjali msiba?
Vyuma vilivyobana huko Tz, si ajabu nawe watamani ungekuwa mkimbizi japo South Sudan kama sio Somalia
 
Mbona unaheshimika sana hapa jf hasa kwa mada zako ambazo zimekujengea umaarufu sasa unaanza tena kupoteza mwelekeo !

Matusi yanasaidia kitu gani badala ya kutetea hoja yako?
Acha amcharange vizuri wamezidi na Mitusi yao, majibavicha magoti
 
Ameanza kupoteza alichokikusanya kwa ghalama kubwa maana hapa jf ili ukubalike ni shughuli
Unajua watu Wako kimslahi
Naona ameona bora aombe pooo ili Aweze rudi kule alipozingua mwanzoni

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…