#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Njoo nyumbani kwanza, acha kelele ukiwa mbali.Katika medani za kivita,ili ushinde ni lazima kikosi cha ardhini kiwe imara.Sisi tulio nyumbani ndiyo askari wa ardhini.
 
Nafsi zinawasuta. Mmemtelekeza Mbowe kisa Membe. Yaleyale ya Dokta Slaa kwa Lowassa.

Halafu nyie matusi jadi yenu. Mlimtukana Dkt Slaa sembuse sie tunaowakumbusha tu kuhusu kadhia ya Mbowe na Matiko?
Sio lazima ukiwa na mawazo yanayofanana kwenye jambo fulani uwe kwenye kundi fulani. Sio sahihi kufikiri kila mtu lazima awe kijani au buluuu
 
Hebu waache hao wanyama wa serengeti wanapumzika pia wako busy na mgombea wao Membe! Hujaiona hashtag yao ya #Kazinabata?!
 
Kweli huyu nami simuelewi. Huyu ni nyoka, kuweni macho naye! Evarist Chahali rudi nyumbani upambane, upigwe risas kama Lisu. Usiwasakizie wenzako. Mazingira sasa ni magumu, DCM needs not produce dead heroes. CDM needs to be strategic and if possible not to lose life! Kama vipi, Evarist Chahali anzisha armed strugle kama ni rahisi kama unavyoandika! Si uko nje hutaguswa, lianzishe basi!
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Mbwa ni wewe uliyekimbia kwenu, wanaume wako hapa, mara wako jela, mara wako polisi. Wewe uko huko unadoea vijisent vya kodi za watu. rudi hapa upate kichapo cha mbwa koko!
 
Tunakusubiri wewe ulianzishe ili tuku.....!!
 
Mbwa ni wewe uliyekimbia kwenu, wanaume wako hapa, mara wako jela, mara wako polisi. Wewe uko huko unadoea vijisent vya kodi za watu. rudi hapa upate kichapo cha mbwa koko!
Hahahaha leo unamdiss!!??
 
Siku hizi huyu Salary Slip amekuwa na hasira kweli kweli. Sio yule tena. Ukimgusa kidogo tu anakuangushia matusi mazito, ha ha ha.
Hasira alizonazo Salary Slip ndizo walizo nazo Watanzania kwa sasa. Zamani JK alisema ccm hawaaminiani hata mtu akienda chooni anabeba maji yake anaogopa sumu, sasa tuendako ccm mtawaogopa raia wa kawaida kiasi mkiondoka nyumbani kwenda kazini mnachukua familia nzima maana mnaweza kuta familia nzima imeshughulikiwa. Tunaelekea kwenye ukenge ukenge tuu!
Hivi mnajua huko kutegemea kwenu Polisi na ratio ya polisi na raia ikoje?
Shauri yenu, hamjifunzi Kwa Jirani?
 
huko ndiko tunakoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…