tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,426
- 4,779
Mnachukua kazi za watu na kuzibinafsisha kama mmepiga picha nyie. Heshimuni kazi za watu.
[emoji3] [emoji3]Rose Mhando, Florah Mbasha, Paul Makonda, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba ndio walokole wetu wa Leo. Mchungaji wetu ni Antony Lusekelo a.k.a BOB LUSE, je shetani tutamshinda kweli?