freemason live clouds fm and clouds tv

Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

Ujinga mtupu.

bt yule dr kidogo anajitaidi cyo huyu freemason wakisukuma
 
mto amada na wewe
et wanatoa siri mb alimbali...SASA WANAONGEA NIN AO?
Matapel ao wa magomen awajui ata kuongea
sjui wachaw...wanajiuma uma awajui lolote...WANAJIKANYAGA TU na kupoteza muda wa dina



mhh wajinga hatar

siwanasema kila m2 ni freemason
 
Duh njaa mbaya

sent from nokia 1200
jamiiforum application
 
ukishaelewa nini maana ya freemason hutakuwa na wasiwasi
kuna ishara wanatumia ambazo nasi tunatumia kama kusalimia kwa mikono nk
no need kuwaogopa hawana shida
 
washenzi tu wanajiumauma tu maelezo yao hayana kichwa wala miguu, hakuna wanachojua wanatoa stori za mitaani matapeli tu
 
ahhhahaaa upuuzi mtupu hao jamaa ni wajasiriamali tu hamna lolotee
 
Mission yao ninini hasa?
Wanasemaje kuhusu Kanumba?...walimuulia nini?

wanatema povu tu, hawawezi kujieleza, nahc hawa ni waganga wakienyeji, tena hawana hata vibar vya kazi yao.
 
Mission yao ninini hasa?
Wanasemaje kuhusu Kanumba?...walimuulia nini?

hawa hawajamuua wala nini kenge tu hawa kwenye msafara wa mamba..kanumba kafa kama mtu mwingine hawa wanatafuta hoja tu na sehemu ya kushika
 
Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

Ujinga mtupu.

Kitendo cha kwenda kujitangaza tuu kinatosha kuamini wao siyo freemason
 
hawa hawajamuua wala nini kenge tu hawa kwenye msafara wa mamba..kanumba kafa kama mtu mwingine hawa wanatafuta hoja tu na sehemu ya kushika

kwani kanumba si kauwawa kwa kusukumwa na lulu,..kama vip wakamatwe na lulu aachiwe huru...pumbafuuuuuuuuuuuuuuu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…