Freeman Mbowe: Zamani tuliona nchi hii ina udikteta uchwara, ila sasa ina udikteta kamili

Wewe ndiye hauko sawa upstairs. Unakuwa kama bendera kufuata upepo, achana na wanasiasa watakuyumbidha tu otherwise na wewe ni walewale. Wanasiasa wanachotaka ni kutawala hivyo watatumia njia zote za kuidunisha Serikali. Sasa kutokana na umburura wenu mnadhani hao wa upinzani wakiingia hiyo ideal democracy, mnayolilia mtaipata. Wapi wapinzani barani Afrika walipochukua madaraka walibadilika kuwa wa-demokrasia?
Tupe mifano usibwabwaje tuu
 
JPM hebu pitia humu uona mapovu yanavyowatoka watu, hakiyamungu utàkamata wengi Sana humu
 
Safi sana tunashukuru mmeelewa sasa Lazima mnyooke tu mlizoea kuleta uhuni uhuni tu hata kwenye mambo ya msingi.JPM wanyooshe tu mpaka waombe poo.
Wametoka jela kwa akili yako umeona wamenyooka, mbona bafo wapo defiant
 
Jpm sio Rais dhaifu kama walivyokuwa wakimuita JK

Kwa hiyo kipimo cha uimara ni watu kukaa gerezani sio?! Utakuwa hujitambua, jibidiishe kufuta ujinga wako, toa tupa kule kama umejaza mfukoni kwa kutafuta historia na maandiko!!
 
Wewe ndiye hauko sawa upstairs. Unakuwa kama bendera kufuata upepo, achana na wanasiasa watakuyumbidha tu otherwise na wewe ni walewale. Wanasiasa wanachotaka ni kutawala hivyo watatumia njia zote za kuidunisha Serikali. Sasa kutokana na umburura wenu mnadhani hao wa upinzani wakiingia hiyo ideal democracy, mnayolilia mtaipata. Wapi wapinzani barani Afrika walipochukua madaraka walibadilika kuwa wa-demokrasia?
tena mbowe ni zaidi ya dikteta maana kila aliyetaka kugombea uenyekiti tu alimuondoa kwa kisingizio cha usaliti
 
Hawa viongozi sijui hawajasoma,hata masharti ya dhamana hayajui,hili la kumsimanga Raisi magufuli pia ni kosa la jinai wasubiri tu akaoge halafu wamueende tena.
Kamtaja mtu hapoooo au ww ndo unamuita ivyo?
 
Bilionea Asigwa Hawa hawa akina mbowe pale muembe yanga tunahtaji raisi aliekuwa diktekta aje ainyooshe hii nchi ikae sawa

Na hao akina nasali naomba hata nipate wiki moja tu ndani ya wizara ya mambo ya ndani niwanyooshe

Tatizo mbowe mkiwa mnaongea muwe mnakumbuka

Siwez ifuatisha siasa kamwe
 
Bila shaka utakuwa na vyeti feki!muuza unga &mpiga dili aliyekwama awamu hii
Mmmmh najua umeamua kuzungumzia vyeti feki kuna mtu wa nyumban kwenu umeshndwa kumwambia cku nying sasa unajidai unatukana jiran kumbe unamsema yy!! Ila hongera hawez kujua umemlenga nan !!! C unajua tena atajua unapigana na maadui wake kumbe unamlenga yy!!!
 
Back
Top Bottom