Freeman Mbowe: Zamani tuliona nchi hii ina udikteta uchwara, ila sasa ina udikteta kamili

Walimisjudge, afadhali ili wajuwe umuhimu wa katiba sasa!

Katiba ni kama inampa uhuru huo wa kuwa dikteta, so we have to rely on his mercy...Ndo maana JK aliweza kuzungumza aliyozungumza wakati anamtambulisha Maghufuli. Kuwa mkali kwa kufuata katiba na sheria hakuna shida. Lakini hata hii iliyopo haifuatwi!

Hata kushiriki kwa uchaguzi kwa chadema huwa kunanishangaza sana!

Katiba itakayo andikw ana Dikteta huyu unategemea itakuwaje?
 
Tunawakomaza Watanzania kwa kuwajengea ukomavu,gadhabu,uthubutu, kama kiongozi wa juu anaweza fugwa kirahisi bila facs!Hiyo amani anayo hubiri raisii ipo wapi?! Anaweka watu wangapi ktk hatari?!Leo hii waziri gani, mbuge,kiongozi wa kijani anaweza jichanganya uraiani muda wowote kama zama za JK?! Tukatae ujinga na ushamba huu kuharibu umoja wa Taifa letu!
 
Safi sana tunashukuru mmeelewa sasa Lazima mnyooke tu mlizoea kuleta uhuni uhuni tu hata kwenye mambo ya msingi.JPM wanyooshe tu mpaka waombe poo.
Mnaandika huku nafsi zinawasuta maana mnajua chanzo cha yote haya ni nini!

Aliewanyima CHADEMA barua za utambulisho na form za kiapo yuko ofisini.

Waliofyatua risasi iliyomua Aquilina hawajawahi onekana mahakamani.

Hata Shetani hana roho kama zenu.
 
Mnakumbusha mliyopigania raisi wa aina hii bora kabisa sio dhaif
 
Back
Top Bottom