Si kwa nchi hii si kwa vyama hivi, na ameshachelewamapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Amestaafumapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Maccm mnahagaika na chadema mnafikiri chadema ikifa ndio mtakuwa salaama. Mnajindaganya chadema sio tena chama cha kawaida ni chama ambocho ni kama dini wanachadema chini ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu hawako chadema kwa kutafuta cheo au pesa wapo kwasababu wanapenda haki. Leo chadema ikifutwa au ikavulungwa na serikali ikafa . Wanachadema watasnza kupigania haki kwa njia nyingine ambazo hazitakuwa na mipaka. Na ccm itaanza kujuta. Chadema inaisaidia ccm angarau kupata heshima kidogo ya kuitwa serikali. Siku wakiifuta chadema ndio utakuwa mwisho wa ccm kuitwa chama cha siasa na kuitwa chama tawala. CCM rasimi itakuwa chama cha kigaidi na watanzania wataanza kujitetea kama wasomali wanavyo fanya. Hata ndani ya ccm hakutakalika. Wapigania haki wataingia huko huko ccm. Na tutaanza kujibu ubaya kwa ubaya maana tutakuwa hatuna cha kupoteza. CCM wangekuwa wanaakili kidogo wangekuwa wanafanya hata research ndogo tu . Waulize wananchi watajisikiaje chadema ikifutwa? Jibu watakalo pata litawasaidia ccm kujuwa chadema inawasaidiaje ccm?mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Sio rahisi kaka kama unaweza mfuate nyumbani kwake mwambie ajaribu.mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
JWTZ tu wameshindwa kwenye nchi hii iliyojaa ufisadi,utekaji,uuaji na kila aina ya uchafu ndio unataka umchomeke Mbowe acha hizo.mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Aipindue CHADEMA au CCM kwenye majizi?mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Si kwa nchi hii si
Yeye mwenyewe Mbowe yu mbioni kuondoka DHADEMAmapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Unaonaje wananchi nao wakifanya maoinduzi kutoa serikali iliyopora uchaguzi hadharani ?????mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Kwa sàsa Mbowe anabaki na heshima yake ya Mkiti mstaafu aliyejenga upinzani Kwa Miongo mingimapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
Naona unautetea ujinga wako kwa wivu mkubwa kabisa🤣mapinduzi sehemu nyengine ni kitu cha kawaida kabisa.angalia KAGAME alivyoijenga RWANADA.
Mh MBOWE pindua uongozi uliyopo uiponye chadema na anguko kuu.we huoni hii hama hama ya wanachama na chadema kutoshiriki uchaguzi 2025?
uchaguzi wa 2024 MKiti akiwa Mbowe ilikuwaje kwani?Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda.
Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
huo ni uhaini.ndiyo maana viongozi wanaotoka nje ya nji bila kibali lazima kuwa monitoredUnaonaje wananchi nao wakifanya maoinduzi kutoa serikali iliyopora uchaguzi hadharani ?????
kupindua nchi na chama ni vitu viwili tofautiJWTZ tu wameshindwa kwenye nchi hii iliyojaa ufisadi,utekaji,uuaji na kila aina ya uchafu ndio unataka umchomeke Mbowe acha hizo.
Chadema hii ambayo inashamiri nchi nzima? au kuna nyingine mmeanzisha?Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda.
Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?