Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Status
Not open for further replies.
tunao maprofesa wazuri sana tena wana mchango mkubwa sana mjengoni, big up mh. profesa maji marefu! Ni msomi tunaekutegemea sana!
 
Naomba ulete cv ya Chenge halafu uniambie kalifanyia ni i Taifa .
 
Kwa kua mfumo wa siasa sio mzuri toka zamani kumbuka wanachaguliwa kwa vidole iyo ni shida,kumbuka wanasiasa kwa midomo yao na wana power kubwa nchini ya ujanjaujanja sasa leo ukimwambia prf akasimame jukwaani kusemasema uongo na kutengeneza vurugu hawezi mfano mzuri angalia ma prf waliopo mjengoni wanapata tabu sana kupiga kelele kama hawa jamaa wasioenda shule hapo ndio utajua ukweli ulivyo.
 
Naomba ulete cv ya Chenge halafu uniambie kalifanyia ni i Taifa .
hatutaki kujua nani amelifanyia nn taifa kwanza tunataka kujua unawadhifa ok je cv yako inatuhusu kuwa nabuwo wadhifa au unagombea kitu flani je unasifa? Acha kuongea kama umeshakunywa huo mvinyo wako hapo
 
Tatizo mnaingilia yasiyowahusu jengeni chama chenu 2015 yaja na kimbunga
 
We mwenye cv nzuri mbona hatujaona cha maana ulichofanya..
 
zimetusaidia kujenga miundombinu na mtandao wa barabara za lami nchi nzima, shule za sekondari kila kata, vyuo vikuu kila mkoa, hospitali za rufaa kila mkoa na za kawaida kila kijiji na kazi inaendelea kutuletea katiba mpya, demokrasia ya kweli nk

kichwa chako kimejaa makamasi, mbunge yupi wa ccm mwenye phd au uprofesa aliyefanya hayo unayoyasema na kipi specifically au umekurupuka na viroba kichwani, huna tofauti na wale wanaokurupuka usingizini nakujib ndioooooo huku hajui hata nn kinapitishwa matokeo yake ndio sasa wanajidai kupinga kodi ya simu kinafiki wakati ni wao ndio walio kurupuka na ndio zao wakaipitisha,sasa tunamshaka na nyie itabidi mpelekwe MIREMBE...
 
weka cv yako kwanza alafu tuje za wengine.Mtu mwenye akili kwanza anajitambulisha yeye kwanza alafu anamuelezea mwingine.wewe hatukujui kwanza mpaka kuomba cv zawenzako zako zipowapi?.Inawezekana wewe ndio wale wenye akili za kina mwingulu nchemba hata mtoto wake anamshangaa kule nyumbani kwake.
 

Ina maana unataka kutuambia elimu haihusiki kwenye uongozi wa nchi? You are not serious... Tell me that you are just joking. Kizazi hike unawake kukifananisha na cha mirambo?? Are you crazy? duh! mtu mwenye elimu ya kukatakata njiani ataweza kusaini mkataba wowote kwa makini kweli? Au unafikiri nchi ni kama chumba chako cha kupanga? You can't be serious
 
Mvumbuzi, kuhusu talent wapo fit sana mbowe dj, msigwa mchungaji, sugu mwanamuziki, duh leme sijui talent yake ila inhusu mitutu! issue ni shuuuuuleee! waende shule bhana!
 

Najaribu kumuelewa mtoa mada kitu pekee anajojaribu kutuambia ni kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya Elimu na Uongozi na sio kukubalika Majukwaani well wanaweza kukubalika majukwaani bt wakipewa nchi kwa elimu yao kiduchu hiyo wataperform kweli?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Utajiri wa Tanzania Unaizidi nchi ya Afrika Kusini, lakini sisi ni kati ya masikini sana Duniani. CV za hao wanaoitwa mamesoma karne hii wamefanya nini? Siku hizi CV nazo huchongwa vilevile. Walikoendelea ukishawapa CV inawekwa pembeni wanakupima unaweza nini. Hawaishii tu kwenye CV. Wanajua nyingi ni feki.
 
Mkikosa hoja mnatapatapa sana.....CV ndo nini nyie?CCM na maprofesa wenu mnaifanyia nini nchi zaidi ya wizi tu?Mbona huko kwenu mna mpaka waganga wa kienyeji?
 
acha kutetea ujinga mkuu, elimu ni issue ya muhimu ndiyo maana hata kazi zinatolewa kulingana na kiwango cha elimu mtu alichonacho.
 
NAPITA;
Join Date : 12th June 2013..............!!!!





You nailed it!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…