Akili za baadhi ya wana CDM ni ni vichekesho sana,Wasalaamu humu jukwaani
Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.
Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.
Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma
Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti
Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi
Ni mimi mtanzania mzalendo
Hahaha, mambo ya zidumu fikra za chairman kwa kweli kwa upande wa upinzani yanatakiwa yakome, kama kweli ni vyama vya kidemokrasia
weka hapa ushahidi .Sijaielewa hii mada, CDM ni mali ya familia yake ataiachaje?
chadema inahitaji mtu mwenye uwezo wa kuing'oa ccm , ukitaka kulijua hili muite lubuva akunong'oneze kilichotokea oct 25 , usicheze na profesa Mbowe , huyu mtu ni tunu ya Taifa , unajua wengi mnadhani nchi hii ina shida nyingine , shida ya nchi hii ambayo ni mateso ya karibu ya miaka 60 kwa raia ni CCM tu , ukiondoa hili dubwana wananchi watakombolewa milele .~~~>Mbowe anatakiwa Kujifunza hili ili aweze kuachia.
Na wewe anzisha chama chako. Huna sababu ya kuumiza roho yako na kukaa unapigia kelele watu wanaofanya shughuli zao za kisiasa kwa faida ya umma halafu wewe unapandikiza mawazo ya kipuuzi. Uwezo wa kuanzisha chama kama huna kaa kimya, utapata pressure na kisukari bure kabisaKwani Mtei alipoanzisha hicho kitega RUZUKU alianzishia Canadai? Mbowe ni mkwe wa Mtei na hiyo ni taasisi yake. Mbowe ametengua katiba ya ili aendelee kuongoza. Zitto alipotaka uenyekiti akafukuzwa. Zitto kwa weledi wake wa uchumi alitaka hesabu za ruzuku zikaguliwe,Chama kikataka akitonye. Mbowe hawezi staafu maana alishatengua katiba ya chama ili aendelee kuwa Mwenyekiti milele. Aeleze Lowasa alileta shilingi ngapi na ripoti za ukaguzi wa kujitegemea zitoke. Ruzuku ni mali ya watanzania.
watu gani chadema hamusomi maandishi ukutani. mbowe alishauza chama kwa hivyo lazima awaachie wenyewe.
Sasa kulikua na ulazima gani wa kujizushia ili tujue kua yupo maana tulikua tumemsahau kabisaMbowe ni zaidi ya viongozi wote wa lumumba
Umemsahau wewe tu ambaye hata huna faida yoyote kwa taifa,lkn kamuulize rais wako atakwambia umuhimu wa mboweSasa kulikua na ulazima gani wa kujizushia ili tujue kua yupo maana tulikua tumemsahau kabisa
asitupe njuga, tunamhitaji 2020 tumwoshe sawasawa.Wasalaamu humu jukwaani
Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.
Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.
Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma
Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti
Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi
Ni mimi mtanzania mzalendo
Mkuu mbna unatapatapa Mara mzito Mara lowasaTehe tehe! Mbowe amewauza kwa EL kavuta chake. Si unajua Pombe atachomoka 2025,2025 tunawapiga mpaka 2035. Endeleeni kula ruzuku na SACCOS yenu. EL atasimama tena 2020 anahisi alikosea padogo! Elimu.. Elimu ... Elimu
Ccm inaendelea kuishi kwa nguvu ya jeshi la polisi na tume ya Taifa ya uchaguzi NEC... La sivyo tungeshaisahau siku nyingAkili za baadhi ya wana CDM ni ni vichekesho sana,
Yani kukiri hadharani kwamba CDM bila Mbowe itakufa ni udhaifu mkubwa sana.
Hii ni sawa kwa sasa kuamini kwamba CCM bila Magufuli itakufa.CCM ina watu makini wa kila aina,kinachofanyika ni kuangalia mahitaji kulingana na mazingira na wakati uliopo wakati huo.
Na ndio maana hata huyu JK ambaye leo mnamrushia maneno yasio na staha tulipowaletea 2015 alikubalika na kushinda kwa kishindo halikadhalika Magufuli ambaye nae kwa sasa anakimbiza,
2025 tutawatupia kifaa kingine na kasi itakua ni ile ile.
~~~>Ni wakati muafaka kwa Mbowe kupumzika na kuruhusu fikra mpya....
~~~>>Chadema kina hazina ya Vijana wengi tu.... Uenyekiti haukuandaliwa kwaajili ya Mbowe tu.
Acha kudanganya Dunia.Dr. mbowe ni msomi kutoka chuo bora kabisa nchini uingereza kabobea katika maswala ya siasa na international diplomacy