Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Kwa kweli mh. Sasa ange waachia wengne, kwa spirit ile ile ya demokrasia , kupokezana madaraka, idea mpya nazo zifanye kazi
Mtaendelea kumkodolea mijicho yenu,mbowe siyo level yenu nendeni mkawachezee masharubu kina lyatonga na cheyo
 
watu gani chadema hamusomi maandishi ukutani. mbowe alishauza chama kwa hivyo lazima awaachie wenyewe.
Ni heri ya mbowe aliye uza cdm kuliko nyinyi majizi mliyo iuza tanzania kwa mnao waita wawekezaji
 
Mtaendelea kumkodolea mijicho yenu,mbowe siyo level yenu nendeni mkawachezee masharubu kina lyatonga na cheyo
Mkuu apo nakufananisha na wana ccm ambao hawaoni haja ya kung'atuka miaka 50, kama una mtetea njoo na sabab, otherwose ni ushabiki tu wa kisiasa sasa apo wapinzani wata jitofautishaje na wanao tawala!!?, chama kizima kina kosaj mtu wa kuwa mwenyekiti!!, then Mbowe ana eza act kama mshauri, tayari asha fanya kaz kubwa sana apumzike tu
 
Tetesi in aweza kuwa kweli au laa
Ila kwa Freeman mbowe kustaafu bado mapema
Hii ni tetesi haswaa!

Kwamba chama amekikuza kwa 85%, unapenda amalizie hiyo 25%! Dah ama kweli ni Tezi la tetesi! Shule zingine hizi jamani!!!!
 
Mkuu apo nakufananisha na wana ccm ambao hawaoni haja ya kung'atuka miaka 50, kama una mtetea njoo na sabab, otherwose ni ushabiki tu wa kisiasa sasa apo wapinzani wata jitofautishaje na wanao tawala!!?, chama kizima kina kosaj mtu wa kuwa mwenyekiti!!, then Mbowe ana eza act kama mshauri, tayari asha fanya kaz kubwa sana apumzike tu
Sina hata ya kuja na sababu kwa watu wapuuzi na walio ishiwa pumzi kama nyinyi
 
Wewe ni mkewe hadi umuonee huruma?
 
Sina hata ya kuja na sababu kwa watu wapuuzi na walio ishiwa pumzi kama nyinyi
Hahaha, mambo ya zidumu fikra za chairman kwa kweli kwa upande wa upinzani yanatakiwa yakome, kama kweli ni vyama vya kidemokrasia
 
Kama habari za kustaafu za bwana Mbowe ni za kweli basi zitakuwa habari njema kwa wale wote wanaoitakia mema CHADEMA.CHADEMA pale ilipo inahitaji mabadiliko makubwa sana, mabadiliko kuanzia kwenye image ya nje ya chama.CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya ambaye akiingia tu jambo la kwanza ni kuhakikisha chama kinajenga makao makuu yake mapya,tena ya kisasa na ya kupigiwa mfano ambayo ita_accommodate offices za jumuiya mbalimbali za chama kama vile BAVICHA,BAWACHA,BARAZA LA WAZEE,nk.Ikiwezekana pia office ya media house ya chama iwemo humo humo kwa mfano TV na radio. Mwenyekiti mpya anapaswa kufanya mabadiliko makubwa ya kimfumo,hasa kuweka sawa baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye katiba,vingi vina mapungufu mengi sana vinavyopelekea baadhi ya viongozi ku_abuse katiba kwa maslahi yao.Ifike wakati katiba izipe meno mamlaka za kimaamuzi kama baraza kuu la chama,kamati kuu ya chama na mkutano mkuu wa chama kuwadhibiti viongozi wabadhilifu na wanaotumia madaraka yao vibaya.Lazima CHADEMA ianze kujenga misingi imara itakayosaidia kuwapata viongozi safi na wenye uwezo mkubwa, tena watakaopatikana ktk mazingira ya haki na ya kidemokrasia.CHADEMA haiwezi kwenda mbele kwa kumng'ang'ania mtu mmoja tu,hiyo tu peke yake inaonyesha jinsi chama kilivyo dhaifu mno kama taasisi.Chama kinahitaji mawazo mapya,fikra mpya,mwonekano mpya,muundo na mfumo mpya ili kisonge mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom