Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Wasalaamu humu jukwaani

Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.

Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.

Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma

Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti

Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi

Ni mimi mtanzania mzalendo
Akili za baadhi ya wana CDM ni ni vichekesho sana,
Yani kukiri hadharani kwamba CDM bila Mbowe itakufa ni udhaifu mkubwa sana.
Hii ni sawa kwa sasa kuamini kwamba CCM bila Magufuli itakufa.CCM ina watu makini wa kila aina,kinachofanyika ni kuangalia mahitaji kulingana na mazingira na wakati uliopo wakati huo.
Na ndio maana hata huyu JK ambaye leo mnamrushia maneno yasio na staha tulipowaletea 2015 alikubalika na kushinda kwa kishindo halikadhalika Magufuli ambaye nae kwa sasa anakimbiza,
2025 tutawatupia kifaa kingine na kasi itakua ni ile ile.
 
~~~>Ni wakati muafaka kwa Mbowe kupumzika na kuruhusu fikra mpya....

~~~>>Chadema kina hazina ya Vijana wengi tu.... Uenyekiti haukuandaliwa kwaajili ya Mbowe tu.
 
Hahaha, mambo ya zidumu fikra za chairman kwa kweli kwa upande wa upinzani yanatakiwa yakome, kama kweli ni vyama vya kidemokrasia

~~~>Mbowe anatakiwa Kujifunza hili ili aweze kuachia.
 
Mbowe bado anahitajika sana Chadema,Mbowe ni mbunifu sana.
Chadema bado inamhitaji Mbowe sana.
Mbowe ni mtaalamu Wa siasa za Tanzania kwani anajua acheze nazo vipi.
 
~~~>Mbowe anatakiwa Kujifunza hili ili aweze kuachia.
chadema inahitaji mtu mwenye uwezo wa kuing'oa ccm , ukitaka kulijua hili muite lubuva akunong'oneze kilichotokea oct 25 , usicheze na profesa Mbowe , huyu mtu ni tunu ya Taifa , unajua wengi mnadhani nchi hii ina shida nyingine , shida ya nchi hii ambayo ni mateso ya karibu ya miaka 60 kwa raia ni CCM tu , ukiondoa hili dubwana wananchi watakombolewa milele .
 
Mbowe kawa Dr lini?

Au alipewa u Dr wa heshima kutoka chuo cha utalii na computer cha kariakoo.
 
Kwani Mtei alipoanzisha hicho kitega RUZUKU alianzishia Canadai? Mbowe ni mkwe wa Mtei na hiyo ni taasisi yake. Mbowe ametengua katiba ya ili aendelee kuongoza. Zitto alipotaka uenyekiti akafukuzwa. Zitto kwa weledi wake wa uchumi alitaka hesabu za ruzuku zikaguliwe,Chama kikataka akitonye. Mbowe hawezi staafu maana alishatengua katiba ya chama ili aendelee kuwa Mwenyekiti milele. Aeleze Lowasa alileta shilingi ngapi na ripoti za ukaguzi wa kujitegemea zitoke. Ruzuku ni mali ya watanzania.
Na wewe anzisha chama chako. Huna sababu ya kuumiza roho yako na kukaa unapigia kelele watu wanaofanya shughuli zao za kisiasa kwa faida ya umma halafu wewe unapandikiza mawazo ya kipuuzi. Uwezo wa kuanzisha chama kama huna kaa kimya, utapata pressure na kisukari bure kabisa
watu gani chadema hamusomi maandishi ukutani. mbowe alishauza chama kwa hivyo lazima awaachie wenyewe.
 
Wasalaamu humu jukwaani

Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.

Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.

Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma

Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti

Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi

Ni mimi mtanzania mzalendo
asitupe njuga, tunamhitaji 2020 tumwoshe sawasawa.
 
Tehe tehe! Mbowe amewauza kwa EL kavuta chake. Si unajua Pombe atachomoka 2025,2025 tunawapiga mpaka 2035. Endeleeni kula ruzuku na SACCOS yenu. EL atasimama tena 2020 anahisi alikosea padogo! Elimu.. Elimu ... Elimu
Mkuu mbna unatapatapa Mara mzito Mara lowasa
Nini mtazamo wako!!!
 
Akili za baadhi ya wana CDM ni ni vichekesho sana,
Yani kukiri hadharani kwamba CDM bila Mbowe itakufa ni udhaifu mkubwa sana.
Hii ni sawa kwa sasa kuamini kwamba CCM bila Magufuli itakufa.CCM ina watu makini wa kila aina,kinachofanyika ni kuangalia mahitaji kulingana na mazingira na wakati uliopo wakati huo.
Na ndio maana hata huyu JK ambaye leo mnamrushia maneno yasio na staha tulipowaletea 2015 alikubalika na kushinda kwa kishindo halikadhalika Magufuli ambaye nae kwa sasa anakimbiza,
2025 tutawatupia kifaa kingine na kasi itakua ni ile ile.
Ccm inaendelea kuishi kwa nguvu ya jeshi la polisi na tume ya Taifa ya uchaguzi NEC... La sivyo tungeshaisahau siku nying

Ccm haina kitu kipya zaid ya kubebwa na vyombo vya dola, nje ya hapo ni wepesi kama chid Benz wa sasa
~~~>Ni wakati muafaka kwa Mbowe kupumzika na kuruhusu fikra mpya....

~~~>>Chadema kina hazina ya Vijana wengi tu.... Uenyekiti haukuandaliwa kwaajili ya Mbowe tu.
 
Mkuu@F9T, Unajua maana na tofauti ya maneno demokrasia na udikiteta? Demokrasia maana yake wengi wape. Mbowe hajajiweka kuwa mwenyekiti kimabavu. Amechaguliwa na michakato halali ya kumpata ilifanyika. Inabidi urudi shule usome tena ili kujua maana ya udikiteta.
 
Kuongoza sio lazima uwe mbele...unaweza ukawa ni mchangaji karata mzuri na mambo yakaenda. Siku africa ikieelewa kifikra umuhimu wa kujenga taasisi imara ndio mwanzo wa maendeleo yetu. Atakuwa mzuri kuibua wanasiasa mahiri hiii itaijenga upinzani jambo ambalo ni muhimu kuliko kubadili katiba kila wakati ili aongoze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom