Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Freeman Mbowe naomba usistaafu siasa 2018

Victor
Kama unamenda sana MBOWE nenda kwake kamfulie / kampikie ,toteleea shudu zako hapa kwenye uzi
 
Kwanza kabisa wee ni mbowe unajipigia promo, KUSTAAFU KUKO PALE PALE, wanachama wanajua hilo.
Pili, yaani mleta mada ktk watu wenye sifa ya kuwa mwenyekiti wa chadema na sugu pia ana sifa?? Kweli nyie bado!
Tatu, unathubutu kabisa kusema mbowe sio mnafiki na sio muongo, unajua maana ya kuaminisha umma kuwa fulani ni fisadi kisha kubadilisha mawazo baadae? Huo ni UNAFIKI na UONGO uliopitiliza.
Acha kumpigia/ kujipigia promo. Mbowe kaexpire ya amebaki na siasa za matukio na chafu. Hafai hata kuwa kichwa cha familia.
 
Hapa nchini au Canada?
Kwani Mtei alipoanzisha hicho kitega RUZUKU alianzishia Canadai? Mbowe ni mkwe wa Mtei na hiyo ni taasisi yake. Mbowe ametengua katiba ya ili aendelee kuongoza. Zitto alipotaka uenyekiti akafukuzwa. Zitto kwa weledi wake wa uchumi alitaka hesabu za ruzuku zikaguliwe,Chama kikataka akitonye. Mbowe hawezi staafu maana alishatengua katiba ya chama ili aendelee kuwa Mwenyekiti milele. Aeleze Lowasa alileta shilingi ngapi na ripoti za ukaguzi wa kujitegemea zitoke. Ruzuku ni mali ya watanzania.
 
Hayo yooote mimi siku ya hitaji nime uliza swali fupi sana kutokana na pendekezo lako kuwa Dr.Slaa aanzishe chama pengine nataka nijiunge,Slaa kesha yeya yuko Canada kahamishia makazi huko nikitaka tu kujua Chama hicho aanzishie wapi? hilo tu.
 
Wasalaamu humu jukwaani

Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.

Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.

Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma

Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti

Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi

Ni mimi mtanzania mzalendo
HUO UDAKTAR FREMAN MBOWE KAPEWA NA NAN?? NA NI COMRADE WA KITU GAN MKUU..
 
Hayo yooote mimi siku ya hitaji nime uliza swali fupi sana kutokana na pendekezo lako kuwa Dr.Slaa aanzishe chama pengine nataka nijiunge,Slaa kesha yeya yuko Canada kahamishia makazi huko nikitaka tu kujua Chama hicho aanzishie wapi? hilo tu.
Dr. Slaa ni mtanzania,hiyo tuu inampa haki ya kuanzisha chama. Mbowe familia yake ipo ughaibuni,ila mwenyekiti wenu. Anaenda kutembea anarudi. Dr. Slaa yupo Canada mapumzikoni kama Mbowe anavyoenda kila uchao! Kuna ubaya?
 
Haya Muungwana natu msubiri huyo Dr. Slaa amalize hayo mapumziko japo sijui ame choshwa na nini.
 
Haya Muungwana natu msubiri amalize hayo mapumziko japo sijui ame choshwa na nini.
Dr. Slaa fikra zake zinahitajika sana katika mageuzi. Ndio maana tunanshauri aanzishe chama chake. Dr. Slaa ndiye aliyeibua na kuiishi ajenda ya ufisadi na Chadema ukaheat. Zitto na Dr. Slaa wanajasho lao kwenye mageuzi ya nchi hii.
 
Oh! sawa sawa ila nahisi mabadiliko katika uandishi wako kadri muda unavyo pita naona kuna lafudhi ya kimakonde imesha ingia 'tunanshauri' na mengineyo, sisemi kama ni viroba la hasha otherwise nime kuelewa,naomba tu nikutakie usiku mwema.
 
Mbowe akistaafu 2018 atakuwa hajakitendea haki chama.
""Vyama vichanga vinahitaji kulelewa"..(mwalimu Nyerere).
Chadema kwa uchanga wake huo haipaswi kuhama toka mikononi mwa Mbowe. Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kwa zaidi ya miaka 23. Na alikilinda chama chake kwa nguvu zake zote. Akina Kolimba walikuwa na mawazo tofauti na Nyerere tunajua kilichowapata.
Tafadhali Kamanda Mbowe usihadaike na makelele ya nzi wa kijani kuwa eti umekuwa sultani wa chadema. Hawana nia njema.
Kama wewe sultani wa chadema wao ni sultan wa taifa la Tanzania. Angalia chaguzi zinavyo figiswafigiswa. Nzi wa kijani hawana maana. Kamanda endelea na usukani.
sasa si mwache unafiki wa kujiita chama cha DEMOKRASIA, kwa sababu mwenyekiti wenu ni dikteta hataki kuachia madaraka kwa wengine.
 
Kama ni kweli inabidi wadau wafanye kazi ya kubadilisha uamuzi wa huyu MTOTO WA MJINI NA BINGWA WA SIASA ZA NCHI HII , huyu mtu ni noma ! mkiruhusu aondoke ulingoni mmekwisha , Mbowe amesababisha visukari na presha za watu zipande kwa miezi 6 sasa , shukrani za pekee zimwendee Damiani Lubuva .
Lubuva hatokaa asahaulike kwa pande zote mbili yaani mnyang'anywa na aliye faidika
 
Mbowe akistaafu 2018 atakuwa hajakitendea haki chama.
""Vyama vichanga vinahitaji kulelewa"..(mwalimu Nyerere).
Chadema kwa uchanga wake huo haipaswi kuhama toka mikononi mwa Mbowe. Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kwa zaidi ya miaka 23. Na alikilinda chama chake kwa nguvu zake zote. Akina Kolimba walikuwa na mawazo tofauti na Nyerere tunajua kilichowapata.
Tafadhali Kamanda Mbowe usihadaike na makelele ya nzi wa kijani kuwa eti umekuwa sultani wa chadema. Hawana nia njema.
Kama wewe sultani wa chadema wao ni sultan wa taifa la Tanzania. Angalia chaguzi zinavyo figiswafigiswa. Nzi wa kijani hawana maana. Kamanda endelea na usukani.
Daaa umenikumbusha inzi wa kijani,utotoni mwetu tulikuwa tuna muita inzi wa kizungu kumbe huyo ndiye mkuu wa mainzi wachafu duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom