Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Sabaya aliiambia mahakama kule Moshi, "alikuwa anaishi kama mkimbizi baada ya kutishiwa maisha...hivyo alikuwa akiishi kwa kujificha ficha na taarifa hizo mamlaka za juu zilikuwa zikifahamu na vyombo vya dola vikifahamu.. " haya maelezo ya Sabaya tuyazingatie sana na mkumbuke alikuwa mtumishi wa umma na kama kweli alitishiwa maisha ni kwamba alitishiwa kama mtumishi wa umma aliyekuwa akitimiza majukumu yake...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nacheka sio mazuri. Ila hakuna namna ukilia, ukauzunika utajiongezea mstress tu yasiyo na sababu.
No way out, ntafurahi kadri ntavyoweza hata ntakapoumizwa, sitoruhusu uzun ndani yangu.
 
Back
Top Bottom