MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
- Thread starter
- #41
Samahani sijaelewa hoja yako.Kama wewe umekosa mtu wa kumdanganya,basi mdanganye nawewe mkeo na wanao.
Fafanua zaidi.
Samahani sijaelewa hoja yako.Kama wewe umekosa mtu wa kumdanganya,basi mdanganye nawewe mkeo na wanao.
Kwanini wamsafishe fisadi?
Mbowe amefanikiwa sana kwenye biashara ya kisiasa. Siasa zinampatia utajiri mkubwa.Ni walioko wodi za pale mlimani kupita jengo la shule ya hazina dodoma ndiyo pekee wanaoweza kumwamini Mbowe (yaani wagonjwa wa akili waliolazwa milembe ndiyo wenye sifa za kumwamini Mbowe kama hutoki humo unatakiwa kukaa mbali na discodancer huyo)
Deeya usembo naaniii.
Umesoma na kuelewa msingi wa hoja yangu?
Wameambiwa pia waonyeshe fomu ambazo ni copy kwa kila wakala wao wa vituo vya kupigia kura ambazo ni tofauti na matokeo yaliyotangazwa na NEC. Wameshindwa kuonyesha!Sasa zile kura milioni 10 alizosema lowasa kapata alipata wapi majumuisho yake?
Kama nitakubaliana na hoja yako ina maana uchaguzi ni batili na serikali ya Rais Magufuli ni batili. Fine!
Kama kweli serikali ya Rais Magufuli ni batili basi wabunge wa CHADEMA/UKAWA wasiingie bungeni kuisimamia serikali ya Rais Magufuli ambayo ni batili. Kuisimamia serikali batili ni kuharalisha ubatili!
Nadhani unafahamu kazi ya bunge ni kuisimamia serikali.
Kwa heshima na taadhima ilikuwa busara Mbowe ajiuzulu wadhifa wake, Maana siasa Zake za kilaghai zimechangia chama kutoa kauli zinazokinzana kila wakati.
Ni vigumu Chadema kuaminika mbele ya jamii kwa uongozi huu huu wa Mbowe, Chadema kinahitaji fikra na changamoto mpya na sio za mazoea kama za sasa.
Uwezo wa Mbowe kuongoza chama ndio umegota!
Mbowe amefanikiwa sana kwenye biashara ya kisiasa. Siasa zinampatia utajiri mkubwa.