Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
Kumekucha.....saa za Africa Mashariki na Kati
Ngoja aje akuoeTundu Lisu atakuwepo?
Wewe alikutema?Ngoja aje akuoe
AminaMungu ibariki CHADEMA.. Mungi mbariki Mwamba!
Kwa Sasa analamba asali.Hana muda wa kupoteza CLUB HOUSE.Kwani Tundu Lisu anaishi wapi?
Wewe nawe ukishafakamia supu ya nguruwe na k vant unajiropokea tuHaelewi maana ya diaspora achana nae.
Mbona wakati wanakubutua ulikuwa husemi kama ni takataka?Tumepitia mengi kama taifa, hizi takataka ndio zilikua watawala nchi hii, kweli?!
Mmoja kanyimwa akili akajaaliwa makalio, na mwingine ni Mwendawazimu Kichaa.
yaani dada bado unajipa matumaini ya kuwa kuna mwamba tena hapo? huyo kishalamba asali kishawakimbia sasahivi anabweka tu ili mumuone mko nayeye keshakuwa mvaa madela ya kwenye birth dayMwamba wa siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe , Laingwanan ama Mtemi Isike kama anavyofahamika huko Tabora , ataongea na Watanzania wanaoishi nje ya Nchi ( DIASPORA ) , kesho Jumamosi 04/6/2022 , Saa 11 Jioni muda wa Tanzania , Mahali ni palepale CLUB HOUSE .
Kaa Tayari kupewa mwongozo na Dira ya Taifa .
kwani siku zingine huwa inakuwaje akienda ikulu? hapo lazima awasiliane na mama kwanza aseme anaenda kuogea nini sasa hivi kishakuwa mfuasi wa ccm mboweili iweje
ngoja tuoneAskofu Rashid atakuwepo?
Wauaji wakiteta kuhusu nani wa kumuua siku hiyo.
[emoji38][emoji38][emoji38]Wauaji wakiteta kuhusu nani wa kumuua siku hiyo.
kubatua mgonjwa vile wa magonjwa yote yasio na tiba, kakauka vipaja vile na kuvunja tumbo. Takataka wenzie kama wewe ndio mmebatuana. Disgusting Magufuli na MaCCM .Mbona wakati wanakubutua ulikuwa husemi kama ni takataka?
Kwanini wote mliobutuliwa na magufuli na kuachiwa vitu tumboni mna hasira sana? Au hamjavitoa tu?
Anataka kuomba hela hahaha wahuni partyMwamba wa siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe , Laingwanan ama Mtemi Isike kama anavyofahamika huko Tabora , ataongea na Watanzania wanaoishi nje ya Nchi ( DIASPORA ) , kesho Jumamosi 04/6/2022 , Saa 11 Jioni muda wa Tanzania , Mahali ni palepale CLUB HOUSE .
Kaa Tayari kupewa mwongozo na Dira ya Taifa .
Kichaa naejua kuandika tumekuonaTumepitia mengi kama taifa, hizi takataka ndio zilikua watawala nchi hii, kweli?!
Mmoja kanyimwa akili akajaaliwa makalio, na mwingine ni Mwendawazimu Kichaa.
Inaonekana ulitakiwa na mabasha wako kuzimu Mungu gani ulienae kwa roho nyeusi ivonimeweka makusudi ili kuwakomesha , mmoja ni marehemu (siyo hayati) , Mwingine ni mfungwa ajaye .
Nikutoe wasiwasi , hawa wachumia tumbo hawajawahi kunitoa kwenye mstari , viongozi wao wamenishindwa , labda nikuibie siri , mimi ni miongoni mwa waliopangwa kutekwa wakati ule wa shetani, lakini ndio kama tunavyosema mara zote kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU , hili nitaliachia huko mbele .
bilionea Mbowe aombe hela !Anataka kuomba hela hahaha wahuni party