Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,584
- 287,238
Eti Mtemi Isike🤣🤣Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
Walioshiriki kuchoma vifaranga Marufuku !Oyoooooooo!!!!; Go! Go! Baba la baba
Ndiyo maana yule bibi wa kale ka nchi fulani hajaalikwa.!!!
Siyo mimi bali ni watanzania wenzake waliompa hayo majinaEti Mtemi Isike[emoji1787][emoji1787]
Hahaha! Tena wasitie pua hata mpka wa NamangaWalioshiriki kuchoma vifaranga Marufuku !
Hahaha sawa bwana. He deservesSiyo mimi bali ni watanzania wenzake waliompa hayo majina
🤣🤣🤣Hahaha! Tena wasitie pua hata mpka wa Namanga
Hawana aibu wataendaWalioshiriki kuchoma vifaranga Marufuku !
kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
AmenChama chetu CHADEMA kinatambulikana kuwa ni chama cha kweli cha siasa tofauti na vyama-kongwe-dola vilivyojibatiza kuwa ni revolutionary (mapinduzi) ambavyo havina ushawishi wala uhalali wa kutambulikana kama vyama vya siasa katika karne hii tuliyo nayo.
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545]Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.
Taarifa zinaonyesha kwamba Aboubakar Mbowe ni Mgeni Maalum Mno, huku tetesi zikionyesha kwamba yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno.
Chanzo: Tanzania Daima
Endelea kubaki JF kwa ajili ya Uhondo zaidi.
yuko kwenye orodha ya kakundi kadogo sana ka vigogo watakaopewa nafasi ya kutoa Neno
Ndicho unachomiliki wewe?Kiwanda cha maneno.
sitoshangaa akipewa nafasi ya kusalimia umma wa kenya akisema ametumwa na rais samia kuja kumwakilisha. si unajua tena siasa zetu za east africa.Hii ndiyo taarifa mpya ambayo inasambaa kwa kasi sana duniani kwa sasa, kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe ataingia Nairobi, kwa Mwaliko Maalum wa Ruto Mwenyewe.