Freeman Mbowe: Kupona kwa Mhe. Lissu ni Mpango wa Mungu, Watanzania tuendele Kumuombea

Matibabu gani hayo yanachukua zaidi ya 500M sijawahi kuona ,hii ni zaidi ya Deci na kikombe cha Babu

Hata marekani hakuna gharama hizo

Sawa tunamuombea ila kuna harufu ya kuliwa kwa hela zetu za rambirambi

Rambirambi? Inaelekea lumumba fc walijiandaa kwa msiba. Poleni sana. Lissu bado yupo hai.
 
Labda yule aliyepiga risasi aseme kama ameishiwa risasi au ameamua kutopiga risasi mkinipatia hayo majibu tutaenda pamoja vinginevyo hali bado tete.
 
Mimi ni mzee kwa sababu umri wangu naruhusiwa kutibiwa bure.

Bado najiuliza, Hawa Wazungu waliotuletea Demokrasia ya vyama Vingi, najiuliza vyama Tawala na vyama vya upinzani vinafanyanya nini wakati wa uchaguzi na baada ya kupatikana mshindi?

Ninavyojua toka Mama Clinton ashindwe, pamoja na kuwa aliibiwa kura kwa kutumia Taifa kubwa, lakini huyu Mama hatujamsikia akipingana na Rais aliyeko madarakani. Amekaa kimya akijiandaa na kujenga chama chake kulingana na katiba ya chama na ya INCHI. Wanaopingana na Rais aliyeko madarakani ni Taasisi za kupigania haki za Binadamu anapoenda kinyume na haki za binadamu

Tanzania inaonekana hakuna tufauti kati ya kipindi cha kampeni na baada ya kupata mshindi.

Kwa nini haya tunayotaka kuyasema, hatuyasemi kwa utaratibu, upendo,ushirikiano nk.
Tunaowasemea ni wanainchi, kwa hiyo kama waliowengi wanakubaliana na Kiongozi aliyeko amdarakani, tuungane nao.

Kilichoko sasa kati ya Viongozi walioko madarakani na wale walioshindwa ni coflict of interest na kiutawala tunaiita ni swala la 'Personalities'.

Kwa mfano ukigundua kuwa mke wa rafiki yako yuko Guest House na mtu, je unasababu ya kwenda kutoa taarifa Polisi?

Kama utaenda Polisi au utakimbia mbio kwenda kutoa taarifa kwa rafiki yako, wewe ni mpumbavu.

Wanainchi walio wengi tunao sema tunawapigania hawana taarifa na wala hawaijui hii vita.

Wanachojua ni kuwa Walichagua Rais, Mbunge, Diwani na Mwenyekiti wa kitongoji.
Hata kama hawampendi, watasema, uchaguzi ujao huyu hatumpi kura tena.
 
Matibabu gani hayo yanachukua zaidi ya 500M sijawahi kuona ,hii ni zaidi ya Deci na kikombe cha Babu

Hata marekani hakuna gharama hizo

Sawa tunamuombea ila kuna harufu ya kuliwa kwa hela zetu za rambirambi
Wewe unalialia wakati hujachangia hata centi, mbona tuliochanga hatuongei, kwani pesa ni nini mbele ya uhai. Acheni siasa za kijinga na unafiki.
 
Swala la afya ni jambo jema sana, uwazi na uaminifu na Mungu zaidi kwamwe hatupaswi kuingiza siasa sijaamini mpaka Leo kama tukio hilo ni la kisasa ila kutokana na history ya dunia na mwonendo wa uchumi, mataifa ya Africa yanapingana Bila kujua nani yupo yuma ya, kukae Chini tu tafakari upya kuna neno au msemo washa moto mwenye akili na afahamu
 
Matibabu gani hayo yanachukua zaidi ya 500M sijawahi kuona ,hii ni zaidi ya Deci na kikombe cha Babu

Hata marekani hakuna gharama hizo

Sawa tunamuombea ila kuna harufu ya kuliwa kwa hela zetu za rambirambi

Unaweza kuta hata sh 500 hujachangia. Lkn mdomo mbele, lkn watu Kama nyie ktk jamii lzm muwepo ili maisha yaende.
 
Mimi ni mzee kwa sababu umri wangu naruhusiwa kutibiwa bure.
Bado najiuliza, Hawa Wazungu waliotuletea Demokrasia ya vyama Vingi, najiuliza vyama Tawala na vyama vya upinzani vinafanyanya nini wakati wa uchaguzi na baada ya kupatikana mshindi?
Ninavyojua toka Mama Clinton ashindwe, pamoja na kuwa aliibiwa kura kwa kutumia Taifa kubwa, lakini huyu Mama hatujamsikia akipingana na Rais aliyeko madarakani. Amekaa kimya akijiandaa na kujenga chama chake kulingana na katiba ya chama na ya INCHI. Wanaopingana na Rais aliyeko madarakani ni Taasisi za kupigania haki za Binadamu anapoenda kinyume na haki za binadamu
Tanzania inaonekana hakuna tufauti kati ya kipindi cha kampeni na baada ya kupata mshindi.
Kwa nini haya tunayotaka kuyasema, hatuyasemi kwa utaratibu, upendo,ushirikiano nk.
Tunaowasemea ni wanainchi, kwa hiyo kama waliowengi wanakubaliana na Kiongozi aliyeko amdarakani, tuungane nao.
Kilichoko sasa kati ya Viongozi walioko madarakani na wale walioshindwa ni coflict of interest na kiutawala tunaiita ni swala la 'Personalities'.
Kwa mfano ukigundua kuwa mke wa rafiki yako yuko Guest House na mtu, je unasababu ya kwenda kutoa taarifa Polisi?
Kama utaenda Polisi au utakimbia mbio kwenda kutoa taarifa kwa rafiki yako, wewe ni mpumbavu.
Wanainchi walio wengi tunao sema tunawapigania hawana taarifa na wala hawaijui hii vita.
Wanachojua ni kuwa Walichagua Rais, Mbunge, Diwani na Mwenyekiti wa kitongoji.
Hata kama hawampendi, watasema, uchaguzi ujao huyu hatumpi kura tena.
Well done old man
 
Matibabu gani hayo yanachukua zaidi ya 500M sijawahi kuona ,hii ni zaidi ya Deci na kikombe cha Babu

Hata marekani hakuna gharama hizo

Sawa tunamuombea ila kuna harufu ya kuliwa kwa hela zetu za rambirambi
una mtindio wa ubongo wewe, wale vigogo wanaoenda kutibiwa india wanatumia shs ngapi na kwa muda gani?
 
Matibabu gani hayo yanachukua zaidi ya 500M sijawahi kuona ,hii ni zaidi ya Deci na kikombe cha Babu

Hata marekani hakuna gharama hizo

Sawa tunamuombea ila kuna harufu ya kuliwa kwa hela zetu za rambirambi
Ni mgonjwa gani uliyewahi kuona amepigwa risasi 8 na kupona achilia mbali gharama?
Mungu anampango na Lissu na msishangae akija kuangusha nguzo za nchi kama Samsoni pale nguvu zitakapo muishia!! Tuendelee na ufilisti wetu
 
Matibabu gani hayo yanachukua zaidi ya 500M sijawahi kuona ,hii ni zaidi ya Deci na kikombe cha Babu

Hata marekani hakuna gharama hizo

Sawa tunamuombea ila kuna harufu ya kuliwa kwa hela zetu za rambirambi
Meru, Embu, Kikuyu, Chagga, dugu moja, umesahau? Watu wako kazini. I we siasa, misiba au dini, jamaa Hawa huwq hawqkosei. Muda wote wako kazini.
 
Kuna siku utamuuliza Mungu ZAKA yangu inatumikaje kanisani.Kama unaweza kutoa mchango wa harusi na bado ukaambulia beer moja na Sahani ya wali bila mboga na huulizi,sembuse mgonjwa??

Ukishatoa unasahau kama umetoa utakuwa salama.Maana SADAKA uitowayo hakikisha hata mkono wako wa kuume hautambui umetoa kiasi gani.
Mkuu unapo zungumzia zaka huwa na chombo tofauti na cha sadaka na pia huwa inatokea wakati tunaita sahani ya upendo nayo huwa na sahani yake je inakuweje upande huu wanataka kuchanganya mambo kwa pamoja
 
What ever lakini unapoombwa kuchangia then changia halafu sepa,shukurani inatosha kwako na kwangu
 
Rule : The captain is always right

The captain is always right, if the captain is wrong; refer to the rule above.
 
Back
Top Bottom