Freeman Mbowe kumbuka Wanachadema walienda kanisani kumlilia Mungu uachiwe kwenye kesi ya Ugaidi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,818
Reaction score
62,029
Ndugu Freeman Mbowe, kumbuka kwa miaka takriban 20 ulikuwa kwenye familia inayokupenda, kukuheshimu na hata wengine kuwa tayari kuyatoa maisha yao kwa ajili yako na uongozi wako.

Ulipotuhumiwa kwa makosa mabaya kabisa ya kuuza madawa ya kulevya na Ugaidi ni wanachadema waliopambana kukutetea na kuilinda heshima yako. Tafadhali kumbuka wema huu na imani hii. Siyo serikali ya CCM.iliyokusafisha mbele ya umma bali ni wanachadema na umma uliosimama kulinda heshima yako.

Ulipokuwa Jela ni Wanachadema waliosimama na KUSEMA WEWE SIYO GAIDI, Serikali ya awamu ya Tano iliposema kuwa wewe unauza Ngada ni Wanachadema waliosema hatukubaliani na tuhuma hizo.

Sasa Ndugu Mbowe kweli unaweza kuwaangusha watu wa aina hii?

Tafakari sana.

Hapa Chini naweka video wanachadema wakisali kumlilia Mungu akuokoe na kesi ya Ugaidi. Jiulize wakati huu Samia alikuwa wapi?

View: https://youtu.be/fJf-65LEICk?si=9yYYuLmi6PuHlf3P
 
Ulipokuwa Jela ni Wanachadema waliosimama na KUSEMA WEWE SIYO GAIDI, Serikali ya awamu ua Tano iliposema kuwa wewe unauza Ngada ni Wanachadema waliosema hatukubaliani na tuhuma hizo.

Sasa Ndugu Mbowe kweli unaweza kuwaangusha watu wa aina hii?

Tafakari sana.

Hapa Chini naweka video wanachadema wakisali kumlilia Mungu akuokoe na kesi ya Ugaidi. Jiulize wakati huu Samia alikuwa wapi?

View: https://youtu.be/fJf-65LEICk?si=9yYYuLmi6PuHlf3P

Mbwai mbwai tu ....mbowe shikilia hapo hapo walikutukana sana kipindi cha kampeni
 
Kuna matusi makubwa zaidi ya kuitwa gaidi na kuambiwa ni muuza ngada?. Wanachadema walimtetea kwa nguvu dhidi ya avcusations hizo, sitegemei awalipe kwa kukisaliti chama
 
Vijana wengi wamekufa Kwaajili hicho chama lkn bado Leo anakubali kuangusha chama
 
Mchaga kwenye pesa hanaga ubinadamu.

Nawaonea huruma sana wanaowaamini wachaga kwenye siasa za ukombozi. Mie ni nimechanganya damu na uchaga. Ndugu zangu upande wa Baba ni balaa kwenye pesa.
 
Kuna matusi makubwa zaidi ya kuitwa gaidi na kuambiwa ni muuza ngada?. Wanachadema walimtetea kwa nguvu dhidi ya avcusations hizo, sitegemei awalipe kwa kukisaliti chama
Mbowe sio mwenyekiti, kwani ni lazima afanye siasa za majukwaaani?

MBOWE ALITUKANWA NA WANACHADEMA WASIONA UELEWA KULIKO ALIVYOTUKANWA NA WANACCM KWA MIAKA YOTE

Majibu yatapatikana tu, kati ya MBOWE na hao nani gwiji wa SIASA
 
Ukiwa kiongozi kuvaa matusi ni jambo la kawaida, si unaona sgr inavosaidia mkuu
 
Huwezi kutukanwa na watoto ambao bado unawalea, sio kwamba uliowalea Bali Bado unawalea, HAO TOP LEADERS WOTE CHA CDM bado walikuwa wanalelewa, hawakuwa wamekuwa kiasi hicho, na uhalisia unaonekana.
BORA UTUKANWE NA WATOTO WANAOJITEGEMEA SIO WANAOKULA KWAKO MADINI
 
Poa mkuu
 
Kuna matusi makubwa zaidi ya kuitwa gaidi na kuambiwa ni muuza ngada?. Wanachadema walimtetea kwa nguvu dhidi ya avcusations hizo, sitegemei awalipe kwa kukisaliti chama

..baadhi ya waliomtetea, kumpigania, na kumlilia Mbowe, wakati wa kesi ya ugaidi, wamehamia Chaumma. Sasa kuna shida gani Mbowe kwenda Chaumma?
 
Ameshapiga michupa ya konyagi,hakumbuki tena mambo hayo.

Back
Top Bottom