Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,513
- 1,730
Pumbavu wewe!WanaJf,
Salaam!
Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:
(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;
(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;
(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;
(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Hapana, mbowe anaandaliwa kuwa Kama majaliwa 2025.WanaJf,
Salaam!
Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:
(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;
(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;
(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;
(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Mwisho wa siku chama si kabila.WanaJf,

Nafasi ya Majaliwa inaandaliwaje?Hapana, mbowe anaandaliwa kuwa Kama majaliwa 2025.
Asante, unakubali lipi au unakataa lipi?Pumbavu wewe!
swali ambalo huyo poyoyo ungemuuliza ni kwamba kumbe alipokuwa anawambia mungu wao yule dikiteta magufuli kuwa chadema imekufa alikuwa anawapumbaza na kwanini wamekuwa wakisema chadema imekufa halafu huyo jamaa kwa upumbavu wake anasema mbowe akihamia ccm chadena itakufa which means that up to this juncture chadema is still alive therefore those fools na sycophants who have been consolling themselves that chadema has already demised are lunatics who need to be taken to mental health clinic for check up.Pumbavu wewe!
walipoondoka chadema ilikufa?Asante, unakubali lipi au unakataa lipi?
Zitto hakuondoka?
Slaa hakuondoka?
Silinde hakuondoka?
Lijualikali hakuondoka?
Why unang'aka juu ya Mbowe!!!
mbowe haondoki na mwaka huu tunamchagua tena mpaka nguruwe wa uvccm na sukuma gang tuwakomeshe kabisa na mfutike kwenye siasa za tanzania.Akiondoka Mbowe, CHADEMA itapona. Anayekiua CHADEMA kwa sasa ni Mbowe.
mbowe hatoki mpaka nguruwe wa uvccm na sukuma gang wote muishe kufa kama mungu wenu ndio mbowe tutamtoa na kuwawekea chuma lissu au heche.ALKAELI ASALI MBOWE ni SULTANI WA MILELE WA CHADEMA.
Hang'ooki ng'ooo.
Iiyumba sana:-walipoondoka chadema ilikufa?
why hutaki kusema hao uliowataja walipoondoka chadema ilifanyaje!!!
Lugha chafu - hatuna nguruwe (piga mswaki) na mrudie MUNGUmbowe hatoki mpaka nguruwe wa uvccm na sukuma gang wote muishe kufa kama mungu wenu ndio mbowe tutamtoa na kuwawekea chuma lissu au heche.
Nikifuatilia siass za CHADEMA naona Mbowe kajitahidi ssna kuwa mzalendo kwa Taifa na chama.chake zaidi.WanaJf,
Salaam!
Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:
(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;
(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;
(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;
(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Hii post umeandikiwa na nani? Maana hata @johnthebabtist babustic hawez andika hivWanaJf,
Salaam!
Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:
(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;
(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;
(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;
(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Ongeza kifunguWanaJf,

Chadema kwisha habari yao, mtu kama mbowe hakutegemewa kuwa laini kiasi hiki kumbe ilikuwa ni suala la muda tuPoa ili mfurahi si ife tu, mbona unateaeka kwani wewe ni CHADEMA.