Freeman Mbowe kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA

Freeman Mbowe kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA

Hii taarifa bado haina uthibitisho kutoka Chadema, kauli pekee aliyoitoa Boniface Jacob akihojiwa Star Tv isichukuliwe kama ndio taarifa rasmi ya Mbowe mwenyewe, au Chadema.

Anyway, kwani wewe nini kinakuuma Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama kisicho kuhusu?
Hio ndo taarifa rasmi.. viongoz dunian kote huwa wanapenda kutanguliza watu wao Ili kupima upepo na kujua wanajipangaje kugombeaas..hio si ya Bon. Hyo ni strategic move
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Nikiweka pemben mahaba ya chama, kiukwel mbowe kama atagombea tena, nakili kwamba Mimi na wanachama wenzangu , tutarudisha kadi za chama, bora tubaki singo na huyu mwenzetu anaetoa taarifa za chama muda wote, hapa jukwaani utazani analipwa sijui ethy nini wakiongozana na mshana wakikaid kurudisha kadi ya.chama tunaenda kuwapikua Nigeria maana watakuwa wamerogwa pakubwa na mwenyekit wetu emungu tusaidie
Pilipili msiyoila inawawasha vipi nyie ma CHAWA wa Lumumba?!!!

Matamanio ya ccm ni kutaka CDM kiongozwe na Mwenyekiti anayenunulika Ili wamnunue
 
Mtu yeyote asiyeona tofauti ya mazingira na mfumo wa siasa za Tanzania atakimbilia kumlaumu Mbowe na CHADEMA.

Lakini asiyejitia upofu wa kujitakia au wa makusudi - ataelewa kwa nini iko hivyo.
 
Mwenyekiti Ccm-Mkapa Chadema Mbowe
Mwenyekiti Ccm Kikwete -Chadema -Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Magufuli-Chadema Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Samia -Chadema -Mbowe...

Labda ni Mwenyekiti Hadi kifo
Sasa,hii ina uhusiano gani?Huwa unambadilisha baba yako mzazi kila baada ya miaka mingapi?Akipendacho mtu(CHADEMA)hakina hila machoni.Kwani unataabika kuanzia wapi mwilini mkuu?
 
Mwenyekiti Ccm-Mkapa Chadema Mbowe
Mwenyekiti Ccm Kikwete -Chadema -Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Magufuli-Chadema Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Samia -Chadema -Mbowe...

Labda ni Mwenyekiti Hadi kifo
Kwani CCM huwa kuna uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama?

Msijitie uwendawazimu. Kiuhalisia CCM hakuna uchaguzi wa Mwenyekiti, Katibu wala makamu Mmenyekiti. Yeyote anayekuwa Rais ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama. Baada ya hapo yeye ndiye anateua watu wa kufanya nao kazi kwenye chama. Wajumbe wanaitwa kwaajili ya kujulishwa Mwenyekiti amewateua watu gani kuwa viongozi wa juu wa chama.
 
Anachofanya CHADEMA ndicho kinawezekana kufanyika Kitaifa?. Udikteta tu. Akiwa anakanyaga kanyaga Katiba ya CHADEMA ataifanya vipi Katiba ya Jamhuri? Haitanishangaza ikiwa hivyo.

Inashangaza kweli. Ngoja yule dawa aje humu, galagalano, tindo littu, mujografia na wapindishaji na wazimishaji videta wengine..... karibuni kwenye domokrasia. Waje wamtetee

Ungekuwa na uelewa wa kutosha, labda ungeongelea katiba ya CHADEMA, lakini siyo huo ujinga wa kumlaumu Mbowe. Mbowe hajakiuka katiba ya CHADEMA mahali popote.
 
Hii taarifa bado haina uthibitisho kutoka Chadema, kauli pekee aliyoitoa Boniface Jacob akihojiwa Star Tv isichukuliwe kama ndio taarifa rasmi ya Mbowe mwenyewe, au Chadema.

Anyway, kwani wewe nini kinakuuma Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama kisicho kuhusu?

Unasahau kuwa Mbowe na Chadema yao wanakula RUZUKU toka kwenye TOZO zetu!!! Hiyo Asali wanayolamba inatokana na kodi zeta hivyo tulitegemea kuimalisha upinzani badala ya kuwa chawa wa ccm! Sio siri tena kuwa sasa amekuwa chawa wa Samia.
 
Ungekuwa na uelewa wa kutosha, labda ungeongelea katiba ya CHADEMA, lakini siyo huo ujinga wa kumlaumu Mbowe. Mbowe hajakiuka katiba ya CHADEMA mahali popote.

Busara inaelekeza tu kuwa kwa muda aliokuwa Mwenyekiti na wengi mazuri aliyofanya na machungu aliyopitia, angejijengea heshima sio kwa Chadema tu bali kwa nchi [ Kama alivyofanya Mandela baada ya kuwa rais kwa muda mfupi] kama angeamua yeye mwenyewe kuwa sasa UENYEKITI basi tumchague mwanachama mwingine anipokee kijiti na yeye aendelee kuwa Mbunge na Mzee wa chama.
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Mara ya mwisho aligombea lini vile? Huyu anagombea au anagombania? Kwa uchaguzi upi? Halafu ukosee ujitokeze kuchukua fomu uone vurugu lake.
 
Ungekuwa na uelewa wa kutosha, labda ungeongelea katiba ya CHADEMA, lakini siyo huo ujinga wa kumlaumu Mbowe. Mbowe hajakiuka katiba ya CHADEMA mahali popote.
Matendo yetu yanaonyesha maadili yetu. Kutokutenda kwake kunaonyesha maadili yake, na hivyo hadi sasa imani yake ya msingi inaathiri wenzake.

Tumeshuhudia baadhi ya Wabunge wa CCM waliopendekeza Katiba ifanyiwe marekebisho ili Raisi aongesewe miaka ya kutawala kama sio kutawala milele.Vilevile kama
unakumbuka hivi majuzi Raisi akihutubia alidai kuna "wahafidhina" -(ingawaje sidhani kama ndio waliopendekeza umilele)- pande zote, kwa hayo inanipeleka kuamini wapo wale wa CHADEMA watakao taka suala la umilele lipachikwe kwenye Katiba mpya. Sasa basi, kwaavile ni tamaduni ndani ya CHADEMA kitu ambacho unadai sina uelewa na Katiba yao.... lakini itoshe kusema imeruhusu kilicho dhahiri kwamba, yeye kama Mwenyekiti wa CHAMA na influencer mkuu, amejiruhusu kuwa Mwenyekiti wa maisha ambayo ni kinyume na CHADEMA inayohubiri. Demokrasia, Utawala Bora, Haki kwa wote n.k bila kusahau 'no hate'

Bams,

Nachojua, hata ikiwa Katiba yao inaruhusu Awe Mwenyekiti wa CHADEMA milele na kwa mazoea aliyopata na kwa Tamaduni ya Katiba ya CHADEMA kiuhalisia inampa Udikteta. Kama influencer mkuu

Sasa tukiwaachia CHADEMA wawe ndio wasukumaji wa upatikanaji wa Katiba mpya-ikiwa na maana ya kuanzia mchakato mpya, basi uwezekano wa wao kupachika kipengele cha Kudai Mbowe awe Raisi wa Maisha upo, na kwaavile ameshaizoea tamaduni hiyo basi atakua ndie atakayekuja kutukanyaga kanyaga kwasababu ndicho amezoea!
 
Kama ni kweli basi ni pigo kubwa kwa CCM, maana ndoto ya CCM miaka yote ni kuona Chama hiki kikipata mtu wa kukiongoza ambaye codes zake zinaweza kuwa identified kirahisi na kuwa hacked.
Mbowe kuendelea kuwa Chairman wa Chadema ni pigo kwa CCM?

mwenye kamusi anisaidie maana ya neno pigo ?
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Mnyonge mnyongeni!,wabunge kukimbia chadema!,au kufurushwa na ujambazi wa ccm?,pls stop this ducking shit you sycophant!
Nani hajuhi ujambazi uliofanywa na jpm kwenye uchaguzi na hujuma kwa chadema,
Nyie ccm mna jipya lipi?,mmeshindwa kukuza kilimo,ufisadi kibao,hata Raisi wenu anqwaogopa wezi!,anaishia kusema "stupid",you fuckers
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Duuuh kama atagombea tena bas ni pigo kubwa sana kwa walinda legacy and co.
 
Mbowe kuendelea kuwa Chairman wa Chadema ni pigo kwa CCM?

mwenye kamusi anisaidie maana ya neno pigo ?
we hujui kwamba CCM inamwogopa Mh. Mbowe hadi wakampa kesi ya Ugaidi ili walau akifungwa wapume pumue.
 
Back
Top Bottom